Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

Atataja mafisadi mpaka achoke.kupambana na mtu mmoja mmoja katika nchi kubwa kama Tanzania is a dream. Unless serikali ipinduliwe. vita hii ni ngumu. Njia ya kutaja fisadi mmoja haitasaidia kuleta mabadiko katika nchi. Mfumo wa uendeshaji ndio unasababisha mambo yawe hivi yalivyo. Anasema Magufuli ni fisadi wakati kisiasa kwake wanampenda wacha kabisa. Kwa kufanya hivyo anaharibu mahusiano ya CDM na wananchi wa eneo lenye kiongozi wanayependa. Tafakari.

You will never understand Dr. Slaa
 
Amesahau kama hizi ni siasa. Anadhani bado yuko kanisani. Lakini baadaye mtakuja kujua ni ninachosema.

Maskini Zhu! Bado anataka kumhusisha Dr Slaa na Kanisa! Kazi kweli kweli!
 
Du hapo kweli hatupo pamoja, si kwa CDM peke yao hata Watanzania wote Dr.Slaa kaibadili Nchi hii bila yeye CCM wangelala fofofo. ufisadi wote huo wa EPA, Richmond, Meremeta sasa nyumba za serikali za miaka zaidi ya 60 Magufuli kazigawa sio fisadi!
Haya niambie ni nani mwenye KAGODA IPTL DOWANS
Usifunike machoni vidole eti watu wasikuone, wakati kazi huna na watoto wanashinda njaa eti kwa vile Dr yupo upinzani kasema kweli.
Acha awataje na hukohuko wanaCCM watawapigeni mawe kwani wamechoka siku 90 ni nyingi kujitoa gamba.
Nachashauri Dr Slaa aongeze nguvu na Watanzania wataamka,
Mm nnayo majina ya mafisadi wengine nikimkosa Dr ntayaanika humuhumu
 
Amesahau kama hizi ni siasa. Anadhani bado yuko kanisani. Lakini baadaye mtakuja kujua ni ninachosema.

Mawazo yako ni duni na yamejaa fitina na chuki bila sababu. Nilidhani ulipotutaka tutafakari hoja yako ya awali hukutaka kuingiza chuki zako binafsi dhidi ya Dr. Slaa.

Kwa taarifa yako, ufisadi wa Magufuri haufai kufumbiwa macho hata kidogo kwani unaendelea kuliumiza taifa hili mpaka sasa hivi kwani nyumba za serikali zilizo uzwa kifisadi kwa kusimamiwa na fisadi Magufuli zimefanya baadhi ya maofisa wa serikali kuishi mahotelini kwa gharama za serikali, pesa ambayo ingetumika kununulia dawa kwa watanzania wote au kununuli vitabu vya shule. Usidhani wananchi wa Chato hawana akili kama wewe unayetaka kuwasemea.

Ndio maana hata boss wake Magufuli alikwenda Chato huhuko kuzuia kimbelembele cha kifisadi cha sera upupu za kuvunja nyumba za watu bila fidia zilizokuwa zina simamiwa na mbinafsi Magufuli. Mbona wananchi hao hawakumchukia Pinda? Dr. Slaa akienda Chato atapokewa kwa kishindo kuliko hata Pinda. Hakuna mtanzania wakawaida anaye upenda ufisadi labda wewe na mafisadi wenzako.
 
Ndugu yangu acha uongo na jaribu kukua uache kuchochea udini pasipo sababu watu wote uwanja wa vita walikua na mwamko mkubwa hasa pale safari aliposema 'nimefika chadema nimekuta mazingira muafaka kwa waislam kusikilizwa na kupewa kipaumbele cha nini kifanyike kutatua matatizo yetu nimepewa task yakufanya uchunguzi wa sela ambazo zitatolewa hivi karibuni na chadema ambazo zitakua mkombozi wa waislam nchini'' sasa unacho kizungumza niunafiki wananchi wote walimshangilia safari na wakasema mkombozi wa waislam kapatikana. Safari alihoji kama ccm inawajari waislam inashindwa nini kuanzisha mahakam ya kadhi? na alisisitiza kwamba utafiti wakina umefanyika tayari waislam wasubiri hoja nzito yakuwakomboa.
 
Ndugu yangu acha uongo na jaribu kukua uache kuchochea udini pasipo sababu watu wote uwanja wa vita walikua na mwamko mkubwa hasa pale safari aliposema 'nimefika chadema nimekuta mazingira muafaka kwa waislam kusikilizwa na kupewa kipaumbele cha nini kifanyike kutatua matatizo yetu nimepewa task yakufanya uchunguzi wa sela ambazo zitatolewa hivi karibuni na chadema ambazo zitakua mkombozi wa waislam nchini'' sasa unacho kizungumza niunafiki wananchi wote walimshangilia safari na wakasema mkombozi wa waislam kapatikana. safari alihoji kama ccm inawajari waislam inashindwa nini kuanzisha mahakam ya kadhi? na alisisitiza kwamba utafiti wakina umefanyika tayari waislam wasubiri hoja nzito yakuwakomboa.

Kwa hiyo CHADEMA chini ya safari itaanzisha mahakama ya kadhi? ukitafuta madaraka kwa all possible ways, lazima utaishia tu kama JK
 
Waberoya mkuu, nashukuru kwa kuleta changamoto hapa jamvini na unlike wale wanaodhani labda uko kwenye payroll au chuki binafsi mi ninaona kama una uchungu na nchi kwani uzalendo si kukubali bali ni sehemu ya kuuliza, kujadili na hata kubishana kuhusu mwelekeo wa nchi. Mimi binafsi nimeguswa na point moja zaidi uliyoizungumzia hiyo ni:
" Is this all?

Kama kutaja mafisaid ndio priority ya chadema is this all?? Je mmemaliza wote? Wako wapi akina Nimrod Mkono? Is he clean au kwa sababu ni mwana sheria? Je mmewataja akina Lawrance Masha>akina Ridhwan kikwete? Yuko wapi Houseboy wa Makamba na housegirls wa majumbani mwetu? Au wizi ukifanywa na watu wa chini sio wizi na ukifanywa na viongozi ndio wizi? Je viongozi wanatoka wapi? Ni lini Slaa atajua kuwa ni system ambayo ina fuga wezi na wako millions!?"

Mi nadhani ingekuwa vyema kama tungeweza kukaa na kuchambua hoja zako moja moja kuliko zote kwa wakati mmoja kwa inapoteza malengo.

Kwa kifupi mtazamo wangu ni kuwa umeleta argument ambayo Chadema ni lazima ikae na itafakari. Ulichokiandika ni kwa hata Dr Slaa kuisoma na kuifanyia kazi. Ni kweli kuwa matatizo ya Tanzania siyo watu ni mfumo mzima. Na kama Chadema imelenga kuleta mabadiliko itabidi ifike mahali ipambane hata na wapenzi wake ili kubadili mifumo iliyopo. Mifumo hii ni kweli imendelezwa chini ya CCM lakini hivi sasa tumekuja kukubali kuwa hii ndo system au mfumo wetu. Ya kumpa 'kitu kidogo' polisi akuachie kwa makosa ya traffic, 'kumshikisha' karani ili kesi yako iharakishwe. Sasa wengi wetu tuko vocal kuhusu ufisadi lakini tukianza kuchukulia kwa mapana yake basi wengi wetu tunaangukia katika category hiyo, kwani system ya Tanzania inamlazimisha kila mtu kufuata masharti ya ufisadi.
Naamini kuwa kutaja mafisadi siyo priority ya Chadema na haiwezi kuwa priority yao hivyo ni muhimu kutambua kuwa Chadema ya 2007 si ya 2011, na hatua zilizofaa kuchukuliwa kipindi hicho si hatua sahihi kwa sasa.

Asante sana Susuviri for your positive view on my posts. I real appreciate that from bottom of my heart. We are living in the world of challenges in everything we do. Unajua watu wanasahau mambo mawili

1. When you have got something to prove, there is nothing greater than a challenge

2. There is no challenge more challenging that the challenge to improve yourself


Watu wengi hawafikirii mbinu za kisiasa wamejaa ushabiki, sioni chama kingine cha kukiondoa CCM madarakani zaidi ya chadema! ila sioni kama kazi ya kuindoa CCM ni rahisi sana kiasi cha kupeana moyo wakati CCM inaendelea na itaendela kupeta kutokana na kutokuwa na strategies, Is not easy as it seem to be.

I believe challenges is what will make chadema to focus!
 
Asante sana Susuviri for your positive view on my posts. I real appreciate that from bottom of my heart. We are living in the world of challenges in everything we do. Unajua watu wanasahau mambo mawili

1. When you have got something to prove, there is nothing greater than a challenge

2. There is no challenge more challenging that the challenge to improve yourself


Watu wengi hawafikirii mbinu za kisiasa wamejaa ushabiki, sioni chama kingine cha kukiondoa CCM madarakani zaidi ya chadema! ila sioni kama kazi ya kuindoa CCM ni rahisi sana kiasi cha kupeana moyo wakati CCM inaendelea na itaendela kupeta kutokana na kutokuwa na strategies, Is not easy as it seem to be.

I believe challenges is what will make chadema to focus!

Duh long time!
 
Waberoya unafikiri kuondoa viongozi waliopo na kuwaweka wengine ndio itaondoa hizo tuhuma za udini kwa cdm. hao wanaozusha wanajua c kweli kuwa cdm ni chama cha kidini wala kikabila. Hata ungewaletea mtu wa kwao watasema kanunuliwa. dawa kubwa kama hujui kaka ni kuwapuuza. ukibishana na mjinga na wewe unakuwa mjinga ukimpuuza ataaibika mwenyewe make itaanza kula kwake make watu wataanza kujua ujinga wake na kumdharau. hujaona wameanza kutangaza wenyewe kuwa cdm c chama cha kidini? c kwamba wanapenda kufanya hivo ila kwa kuwa watu wameanza kuwapuuza. wanaogopa aibu japo hawaipendi cdm kwa chuki zao za kifisadi au kutawaliwa na ujinga.
 
"Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo"

Mimi nafikiri Waberoya pamoja na kwamba tunaheshimu mawazzo ya watu sasa wewe hata kufanya "analysis hujui kabisa tena "simple analysis". Wewe unasema Dr Slaa kuteuliwa kugombea cdm ilifanya makosa? Kwa kawaida hata hiyo simple logic yako unayosema wala huna. Simple logic ungeangalia alikokitoa chama kutoka wabunge 5 mpaka kufika 48. This is a tremendous change gentleman. Nakushangaa sana kuongelea mambo ya udini. Sisi tunajua waliotumia udini ni CCM wala siyo Cdm lkn bado waTz wakaonyesha nia yao, na mapenzi yao kwa chadema. Kwani hata Igunga kutoka 0-43% siyo progress. Waulize wachambuzi wa kisiasa wewe hufikiri kabisa.
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika.
Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.
Mkuu, do you really mean you wish CHADEMA good luck? I doubt!! Nimejaribu kuacha machache ya post yako ili nichangie machache pia. Inaonekana Dr. ni tishio ndiyo maana unapendekeza atoswe!!??? CHADEMA watakuwa ni watu wa ajabu sana kumtosa mtu uliyemsifia hivyo. Yaonekana huna upendo na nchi yako au unafaidika na hali ilivyo sasa ndiyo maana humtaki mtu mzalendo mwenye uchungu na nchi hii kama Dr. Slaa. Pole sana Wabe.
 
Umeongea kwa jumla haujachambua vya kutosha,. na watu kama nyinyi hamfai sababu unaonyesha u mwelevu lakini unajitoa akili na kuzungumza vitu noncomplete! eleza udini wa slaa, udini wa chadema, je ni dhambi mtu kuwa na dini? we ulitaka Chadema na Dr Slaa wawe mapagani ndiyo iwe sawa ndani ya nafsi yako? Viongozi wa kitaifa wa Chadema wapo sita, Mbowe, Slaa, Said A. Arfi, Zitto, Said Issa na Hamad Mussa hapo wa kristo ni wawili na waislam ni wanne, kingine hizi fikra za ubaguzi mnazitoa wapi? nini maana ya demokrasia? angalia usipelekwe pelekwe kama bendera ni hatari sana
 
Sio bure Waberoya.. Utakuwa ni mjumbe wa mpango mkakati kabambe wa akina Rostam. Kifupi umetumwa kuisaliti nchi yako. Nakushauri utubu kwa wazalendo wote wa nchi hii..kabla hujachelewa. Usiogope sumu.. Iangalie Tanzania yako.Imba wimbo wa Taifa kwa dhati.Ni toba tosha.
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.

Udini me nnaona unauendekeza wewe kina Maleria Sugu na wengine bila kumsahau anko wako Jk.Kama umetumwa na wanaokutumia kwa kuzidumaza akili zako nenda kawaambie hatujalala na siasa zako za magamba.
 
waberoya is well and alive....Risk assessment and Management in dealing with internal conflicts...
 
waberoya is well and alive....Risk assessment and Management in dealing with internal conflicts...

Mkuu....katika thread yako ya mwaka 2011 ili base kwenye "Udini" ambayo kimsingi ni propaganda inayopandwa na CCM kwa vyama vyote vinavyoonekana threat kwao...mfano CUF waliitwa waislam..

CHADEMA kuachana na Dr Slaa kwa sababu ya dini yake huko ni kupotoka

Unaangaliwa uwezo wa mtu sio dini yake.

Kuhusu yanayotokea sasa...Hii ni move iliyokuwa Expected.....Inatarajiwa kuwa mwaka huu ni wa Uchaguzi..UKAWA ni threat kubwa kwa CCM ..Lazima mbinu zote zitumike ili kuwapunguza kasi hawa UKAWA.

Na kinachoonekana ni mbinu hizo kutumika vizuri

Bahati nzuri au mbaya ni watu wachache sana wanaoweza kutuliza akili zao na kuelewa hili
 
Waberoya,

..Dr.Slaa amefanya kazi kubwa sana ndani ya CDM.

..sidhani kama tangu siasa za vyama vingi zianze kuna Katibu Mkuu wa chama chochote kile ambaye amefanya kazi ya kukijenga chama chake kama alivyofanya Dr.Slaa.

..pongezi pia ziende kwa waliomshawishi Dr.Slaa kujiunga na CDM, na busara zao ktk kumpa uhuru na nyenzo za kukitumikia chama.
 
Last edited by a moderator:
Well the sympathizer of The Supreme Ayatollahh Zitto is sound and alive, Well wisher of the Enemy..
 
Back
Top Bottom