Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,540
- 139,857
Movie anazocheza Zito na Waberoya ni zile zile.mi nadhani tuitie anayekutuma aje
Mkuu mimi sikubalini na wewe sehemu moja tu. Pale uliosema Dr.Slaa hakufaa kugombea mwaka 2010. Hapana sidhani kama kulikuwepo na mtu mwenye mvuto kama yeye ama zaidi yake pamoja na Upadre wake maana ikumbukwe tu kwamba CCM nao waliahidi mengi ya kiimani kupitia njia zile zile. Siasa za Tanzania toka mwaka 2005 zilibebwa sana na Udini kiasi kwamba vyama vilianza kutazama imani zao ili kukubaliwa na Masheikh ama Mapadre.Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.
Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.
Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu
Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa
Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..
Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo
Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!
Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado
Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.
Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo
Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day
I wish you good Luck!
Wabe.
Kwakweli cjakuelewa wabe !! Chadema inakua kwa kasi j'mosi wamevuna zaidi ya wanaudom 8000 na hayo ni matunda ya dr slaa..na kama unasubiri cdm ife utangoja utachoka mark my word.
Hii ziara ya Dr.Slaa Marekani kama kweli alikutana na kundi la Tea party wakazungumzia hali halisi ya Siasa Tanzania inaweza kutoa sura mbaya zaidi na hasa haya maandalizi ya maandamano kusherehesha safari nzima. Ni kweli kabisa picha kila siku inaharibika kwa upande wa Chadema.
Hapana mkuu wangu habari tunazozisikia humu zinatufanya weengine tushike tama...Ndivyo nilivyosikia na kama uongo nitashukuru sana ila ukweli tuuseme wananchi wajue mabaya yake. Unawajua Tea party hasa ya kuwa ni waumini wa misingi ya dini katika uongozi wa nchi ambao walidai kuwa hata Obama sio Mkristu...Duh!!
..wewe kweli una usongo na CDM.
..machoni mwako hawana jema watakalofanya.
..mbona JK amekwenda majuu na kukutana na viongozi wa serikali/vyama vinavyounga mkono mashoga na hamsemi kitu?
..kila siku hapa tunapokea misaada toka serikali ambazo maadili yake ni tofauti kabisa na ya wa-Tz, lakini mnakaa kimya. leo Dr kapata kajisafari kwenda majuu imekuwa nongwa.
Mimi nilishasema chadema lengo lake ni kutuletea ushoga,hilo halikubaliki kabisaaa,watanzania tuwe macho sana na viongozi kama dr slaa,hiyo tea party tunajua mlengo wao
Hapana mkuu wangu habari tunazozisikia humu zinatufanya weengine tushike tama...Ndivyo nilivyosikia na kama uongo nitashukuru sana ila ukweli tuuseme wananchi wajue mabaya yake. Unawajua Tea party hasa ya kuwa ni waumini wa misingi ya dini katika uongozi wa nchi ambao walidai kuwa hata Obama sio Mkristu.
Mashoga mbona tunao na wana haki zote! swala ni kutotambuliwa tu kikatiba. Na haiwezekani JK kuwa shoga au aliwahi kuwa utakuwa umeshusha sana mkuu..
Walimtongoza baba yako nini
Wewe nambie ukweli ni upi maana tusipende hata vitu vinavyotutia aibu...wenye kujua ukweli watuambie alokutana na sio Tea Party members?Ni aibu Sana kuwa mnafki
Hapana mkuu wangu habari tunazozisikia humu zinatufanya weengine tushike tama...Ndivyo nilivyosikia na kama uongo nitashukuru sana ila ukweli tuuseme wananchi wajue mabaya yake. Unawajua Tea party hasa ya kuwa ni waumini wa misingi ya dini katika uongozi wa nchi ambao walidai kuwa hata Obama sio Mkristu.
Mashoga mbona tunao na wana haki zote! swala ni kutotambuliwa tu kikatiba. Na haiwezekani JK kuwa shoga au aliwahi kuwa utakuwa umeshusha sana mkuu..
Sawa nakubali yote lakini huyu Gavana ni member wa Tea party? Tea party ni wafuasi wa dhehebu la Evanjalist Marekani ambao zamani tuliwaita Walokole lakini siku hizi limekuwa dhehebu kamili na wapo juu kisiasa ktk kulinda mfumo Kristu...kwa uelewa wangu Dr alikwenda us kwa mwaliko wa gavana wa jimbo la indiana.
..majuzi tu huyu gavana amesaini sheria ambayo inapinga masuala ya ushoga ktk jimbo lake.
..kuhusu tea party, ninavyowaelewa mimi ni kwamba hawataki "big government." kwa maana nyingine wanataka wananchi waendeshe maisha yao kwa uhuru mkubwa zaidi bila kuingiliwa na serikali kuu.
..jambo lingine ni kwamba Tea Party hawataki foreign aid. kwa msingi huo nina mashaka sana na hizi habari zako kwamba wana interest na vyama vya upinzani hapa Tanzania.
..Mwisho, hakuna Raisi wa Marekani ambaye amepiga vita Uislamu kama George Bush. Lakini serikali yetu na CCM imemwalika mara kadhaa George Bush kututembelea.
..JK pia amemwalika nchini Raisi Obama ambaye anaunga mkono ushoga. Obama anaunga mkono mashoga hata ktk jeshi la Marekani.
..Sasa kwanini hatumlaumu JK na CCM kwa kuwa na mahusiano na George Bush[mpiga vita Waislamu] na Barack Obama[muunga mkono mashoga], badala yake tunamlaumu Dr.Slaa ambaye ameitikia mualiko wa gavana wa indiana anayepinga ushoga??
Sawa nakubali yote lakini huyu Gavana ni member wa Tea party? Tea party ni wafuasi wa dhehebu la Evanjalist Marekani ambao zamani tuliwaita Walokole lakini siku hizi limekuwa dhehebu kamili na wapo juu kisiasa ktk kulinda mfumo Kristu.
Kwa hiyo hilo ndio swali langu maana tukisema JK au Mbatia Kenda Somalia kwa mwaliko na kukutana na mbunge fulani kisha ikaja gundulika mbunge huyo ni member wa Al Shabab tutamuelewa kweli?..
Kuhusu Obama ni swala la mrengo wa Chama chake. Sio kusema yeye anaamini nini isipokuwa Demokratic wanaamini ktk Uliberali na uhuru wa mtu kufanya lolote analolitaka. Pengine imani hiyo pia JK anayo lakini hakuna mahusiano yakutisha mustakabali wa jamii yetu baina ya JK na Obama.
Duuh itakuwa kazi kukuelezea. Tea party ni sehemu ya Republican ni kama wale wanaojiita CCM Asilia vile au niseme ACT ndio utafahamu vizuri wanaosema back to the basic! - mkatafsiri ACT ni CCM....gavana wa Indiana ni Republican, siyo Tea Party.
..pia gavana huyo anapinga ushoga na kutoa mimba.
..upande mwingine tunaye Obama ambaye anatetea ushoga na kutoa mimba.
..sasa wewe unapendekeza tuwe na mahusiano na yupi?
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.