mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
DINI gani?
DINI YA MADRASA! na unaweza kuthibitisha na povu linalowatoka watu sasa hivi !
DINI gani?
Hongera sana "dogo" halafu Kichwa Rished.........sitoshangaa huyu kijana kuja kuteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.....watch!
Hiyo Position ya Naibu Kamishna ilikuwepo mwenyewe amestaafu au haikuwepo kabisa?
Hii benki ya Baclays Bank managing director wake ni Rished Bade ambaye anatoka Arusha na wana undugu na Idrisa Rashid managing director wa Tanesco.Huyu Rashid Bade walikuwa wote benki kuu ya Tanzania wakati Idrisa Rashid akiwa gavana wa Benki kuu.Hivyo kama mikopo ilichukuliwa Baclays twaweza unganisha dots.Pia ile mipesa ya EPA na Richmond iliyopitia CRDB kwa managing director Kimei haikuwa bahati mbaya.Kimei alikuwa ni mkurugenzi benki kuu wakati Idrisa Rashid alipokuwa gavana wa benki kuu.Kwa hiyo Idrisa Rashid,Rished Bade na Kimei wanafahamiana sana tu na kwa karibu wakiwa benki kuu na baada ya kutoka benki kuu inaelekea wameendeleza mtandao fulani wa kuliza nchi.
Kiufupi twaweza kusema unapoongelea ufisadi na connection na benki kuu Rished bade,Idrisa na Kimei wako connected Kiuhalifu unaohusu ndani na nje ya benki kuu kupitia EPA,Richmond,Dowans.Maana mapesa yaliibwa benki kuu yakaenda CRDB mengine yakaibwa kupitia Richmond yakaenda CRDB na mengine yakakopwa Baclays sijui yalienda wapi kama mmiliki anakana kuwa hakukopa labda yalifanyiwa money laundering kupitia benki fulani yakayeyukia kule kunakofanana na wanakoficha pesa akina chenge na wengineo.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25556-new-revelation-dowans-in-huge-debt-5.html
classmate huyu, jamaa kwao ni vichwa sana. Sijawahi kukutana na mtu jinias kama huyu na dada zake !! Shuleni high school, jamaa alikuwa analala haendi darasani halafu tukitoka darasani unamuhadithia mlichosoma kesho yake test anapata 100 !! Alikuwa egm lakini alikuwa anakokotoa na kufunza watu wa form six, yeye akiwa 5 physics, namba, n.k...!!
Balaa huyu...!!
Huyu Jamaa ni kweli anatoka Arusha na anauhusiano wa karibu na Idris Rashid na ndio maana walikuwa wote pale benki kuu; ikumbukwe pia kuwa alipelekwa kule Barclays bank kwa recommendation ya FREEMASON GRAND MASTER [Retired] Andy Chande!! Akiwa kule ndio ule mkopo wa kununua Radar ulipopitishwa na wakati huo Rashid akiwa Gavana hivyo huyu kijana ni lazima alikula pia ile pesa ya RADAR!! Mkweree anatengeneza mtandao wake wa kuibia nchi hizi siku zake za mwisho mwisho!!
![]()
Mr. Rished Bade
Rished started his career in banking in 1995 with Bank of Tanzania as Bank Examiner where he worked for five years. He then joined Akiba Commercial Bank (ACB) in June 2000 as a Credit Manager. A year later, he joined the Barclays Bank as Director of Finance at Barclays Bank Tanzania, a position he held for five years before moving to Barclays Bank Uganda. At Barclays Bank Uganda, Rished was the Chief Operating Officer for 2 years before he was appointed Country Managing Director for Barclays Bank Tanzania in January 2007. In December 2009 he was appointed Group Chief Finance Officer for Barclays East and West Africa Cluster stationed in Nairobi Kenya, the position he held until he joined Tanzania Mortgage Refinance Company in November 2010
Mbona mnashoboka sana na grades za darasani?
CV nyingine bwana! Hivi hakuwahi kwenda shule yoyote hata checkechea? Pugu, Ihungo, Havard, Cambrige, Mzumbe..etc?
DINI gani?
CV nyingine bwana! Hivi hakuwahi kwenda shule yoyote hata checkechea? Pugu, Ihungo, Havard, Cambrige, Mzumbe..etc?
Alikuwapo Bw Placidius Luwoga