Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Hadi sasa naona manarushiana maneno tu hamtaki kutoa taarifa kamili. Keani bado risasi zinarindima
 
Hapo ndo tunaona umuhimu wa polisi tukiwa tumejifungia ndani tukitetemeka nakupost thread kimini kama hii ila wakiuawa tunakuja kushangilia..
 
Nikifika zitakuwa zimekwisha, mi nipo Kawe, acha uoga toka nje mara moja hapo ushuhudie na utupe mrejesho[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tena apige na selfie matata ns mrusha risasi
 
Kama wote ni wauaji kuna tofauti gani?
Iko tofauti jambazi target kuu no mali yako si roho yako wale wauaji wa kibiti kama lilivyo jina lau target pekee sio kuu ni kutoa roho yako
 
Vp mleta mada bado umejifungia ndani?....hebu toka nje utupe ripoti kamili
 
Unajiongeza kidogo mama, angalau. Sisi tulio osterybay coz ni jeshi kubwa. Mi angalau nmekula sambusa....sasa wewe uliyekula mahindi ya kuchoma usiku na maji matokeo yake unaota ndoto za kusikia risasi kumbe ni digestion inakuwa ngumu kufanyika tumboni unahisi ni kama risasi. Usiku sisi tunakula sambusa,viazi na ndzi na maziwa fresh tunalala vizuri kabisa.
"angala" ndio nani?

"nyinyi watu wa oysterbay" wote mnatumia ID moja? Au wewe ndio msemaji wao?

Ni wapi nilipokuuliza chochote?

Madhara ya kula sambusa usiku.
 
Back
Top Bottom