Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Waugwana!
Nipo eneo la Sigara karibu kabisa na uwanja wa Tanesco huku buza.
Muda huu risasi zinaridima hatari. Zimeshasikika nne tayari.

1:55

Nyingine tatu sasa hivi.

2.09
Naona kumetulia sasa

3.11

Moja imepigwa sasa hivi

Jeshi la Polisi tafadhali muwe mnawahi kwenye matukio kama haya
Poleni sana je mko salama?mmefahamu tatizo?Mwenyezi Mungu awatetee
 
Waugwana!
Nipo eneo la Sigara karibu kabisa na uwanja wa Tanesco huku buza.
Muda huu risasi zinaridima hatari. Zimeshasikika nne tayari.

1:55

Nyingine tatu sasa hivi.

2.09
Naona kumetulia sasa

3.11

Moja imepigwa sasa hivi

Jeshi la Polisi tafadhali muwe mnawahi kwenye matukio kama haya
Duuh karibu na uwanja wa tanesco?????

Kunasehem sipajui jina vizuri ilawanasema ni eneola jeshi kuna bar kwenye kamsitu kidogo nilishaenda kuchapa yule mbuziwetu laini pale kwa hisani ya my kapeti, carthe deruuu.

Love for you, hahaaa sijitena huko my, kalekamsitu kanatisha kidogo.

Waugwana!
Nipo eneo la Sigara karibu kabisa na uwanja wa Tanesco huku buza.
Muda huu risasi zinaridima hatari. Zimeshasikika nne tayari.

1:55

Nyingine tatu sasa hivi.

2.09
Naona kumetulia sasa

3.11

Moja imepigwa sasa hivi

Jeshi la Polisi tafadhali muwe mnawahi kwenye matukio kama haya
 
Duuh karibu na uwanja wa tanesco?????

Kunasehem sipajui jina vizuri ilawanasema ni eneola jeshi kuna bar kwenye kamsitu kidogo , carthe deruuu.

Love for you, hahaaa sijitena huko my, kalekamsitu kanatisha kidogo.

Ni jirani sana na hapo. Hiyo bar inaitwa Bush Baby
 
Mkuu umeshindwa kupata hata kapicha?
 
Habari kama hizi bila video au picha hazinogi.zinakuwa ni kama hadith tu za willy gamba. Ulitakiwa utoke nje uelekee sehemu ya tukio upate picha video ukishindwa kabisa angala tupicha tuwili tutatu. Siyo umejificha kwenye shuka halafu unatuuliza sisi watu wa oysterbay
 
"angala" ndio nani?

"nyinyi watu wa oysterbay" wote mnatumia ID moja? Au wewe ndio msemaji wao?

Ni wapi nilipokuuliza chochote?

Madhara ya kula sambusa usiku.
 
Back
Top Bottom