Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

Tatizo la wana JF wengi wanajua kila mtu yupo dar,humu kuna mpaka raia za koromije,buza ni dar karibu na yombo
Hapo ndo huwa nawashangaa watu.Hii ni World Wide Web,dunia nzima ina browse hapa.
 
Braza nipo ndani. Bado sijajua.

ingependeza kama ungetoka mara moja kimyakimya ukawachukua na kapicha au ka clip ukaturushia hapa, ingenoga zaidi, mkuu acha uoga ulikua umejificha nyuma ya keyboard na ID yako fake una postia as if huwaonagi wale ma ripota wa aljazeera wanaendaga hadi eneo la tukio kabisa kule syria unaona kabisa rpg ileee, pia wanawahoji hadi waasi wale islamic state, sasa wewe mkuu umeshindwa kwenda kuwahoji majambazi wawili ama wa tatu? halafu ukaje selfie nao kisha ukatuletea mada iliokamilika kila idara
 
Sasa si utoke mara moja hapo ukahakikishe ni kitu gani, kwanini unaleta thread nusu nusu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nyie mnanifutahisha kwelikweli!
 
Back
Top Bottom