Risasi yangu ya mwisho

Tupe namba ya mganga wako hili life lako la zamani sio kiurahisi rahisi kuwa tajiri mkubwa duniani๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ siri ni kujituma tu mkuu, kwa mfano mimi nilianza na robo kilo ya mchele nikawa napika vitafunwa nauza mashuleni lakini sasa namiliki Super market 34 sheli 15 mabasi 50 viwanda kibao tu na Takataka nyingine nyingi.
Siri ni kujituma tu mkuu๐Ÿ’ช
 
Robo ya mchele ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Matajiri hamna baya๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ