steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,613
- 13,910
Sure,kuna upande hatujausikiaHii haiingii akilini, yaan mwanamke atake kubadili umiliki, nyumba iandikwe umilik wa "yeye na watoto" halaf jamaa achukue maamzi ya kumuua! HAPANA, hapa kuna namna nyingne, kuna kitu behind!
Sema dada wa kaz yeye kasema kile anachokijua, tena kasema kile alichosimuliwa na marehem, halaf ukwel katka ugomv wa ndoa mwanamke hasemag ukweli wa mambo, hupenda kutafta huruma kwa watu aonekane anaonewa!