Ripoti ya Uchunguzi wa pesa zilizotolewa BoT kupokelewa Juni 30, 2021

Aliona kuna shida pahala....akataka uchunguzi....na sasa ripoti imetoka
tuwe wavumilivu maana angeweza kukaa kimya.
na hapa kuna watakaochomoka mazima.
nakuamini sa100
kama haja edit anaweza akafanya jambo la ajabu sana. Tusubiri
 
IMG-20210630-WA0003.jpg
 
Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.

Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.

Anyway ngoja tusubiri tuone.
 
Pesa ni za nchi, wizi wowote ambao ulifanyika ata kabla hajawa rais una mhusu sana tu. Acheni mama apige kazi
 
Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.

Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.

Anyway ngoja tusubiri tuone.
Myopia
 
Hapana,
Hata Kama alietoa hela aliambiwa na watu wa Hayati Mwenda, lakini aonyeshe hiyo order.
 
Hapo concentration yake iko March wakati yeye akiwa rais kuanzia March 17.

Huko nyuma, Februari na Januari hazimhusu kwani hakua rais na hata waliozipiga wakizema walipewa amri na rais aliekuwepo inakua hakuna namna ya kumfanya.

Anyway ngoja tusubiri tuone.
Umeandika nini? Naona una panic. Lazima ulinufaika na huo wizi.
 
Magu alisemaga hatafukua makaburi ila mama kaamua kufukua basi afukue mpaka ya awamu ya nne ndo tutamuamini.
 
Sidhani hiyo report itawekwa wazi kwa ukamilifu wake maana inawagusa wengi. Na hakuna hatua zozote za maana zitakazochukuliwa kwa wahusika zaidi ya kuyumbisha yumbisha maneno tu. Tanzania ni ile na viongozi wake ni wale wale
 
Back
Top Bottom