Ripoti ya Uchunguzi wa pesa zilizotolewa BoT kupokelewa Juni 30, 2021

Mama anapenda kutufurahisha sana watanzania, nahisi leo kuna zawadi ingine tutapatiwa kama ya ile siku yakujiandaa na sikukuu ya Idd.
 
Inaweza kabisa kufanyiwa uchakachuaji na hivyo kuambiwa ripoti haina chochote kibaya au pesa zilizochukuliwa taratibu zote zilifuatwa. Kumbuka CAG Kichere alipotoa ripoti yake nadhani ilikuwa mwishoni mwa March au mwanzoni mwa April maccm walimtishia maisha yake.
Kuna kitu kinafichwa kuokoa shingo ya mtu.

Kwani hakuna whistle blowers kutoka ofisi ya CAG?

Usinishangae
 
Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti.

Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa?

Kuna mtu ukimuona amehudhuria uwasilishaji wa hiyo ripoti, basi usitegemee la maana kwani sidhani kama anaweza kuumbuliwa na yeye akiwa yupo katika eneo la tukio unless wamfiche jambo ambalo nalo si rahisi kutokea.

Tusubiri.
Trust me. Hakuna Jipya mtasomewa blah blah tu halafu yataisha kiblah blah tu. Na ni kwanini iwe jan to march tu?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Inaweza kabisa kufanyiwa uchakachuaji na hivyo kuambiwa ripoti haina chochote kibaya au pesa zilizochukuliwa taratibu zote zilifuatwa. Kumbuka CAG Kichere alipotoa ripoti yake nadhani ilikuwa mwishoni mwa March au mwanzoni mwa April maccm walimtishia maisha yake.
Hakuna Jipya. Itasomwa Ngojera na hakuna mtu atachukuliwa hatua atafikishwa ni where

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Yaani serikali ya CCM ijifanyie uchunguzi halafu itoe ripoti inayoichafua serikali??

Hahahahaa jamani eeeh…tutumiage akili zetu tulizozaliwa nazo!
hawa jamaa kutumia akili ni msamiati kwao,ni mwendo wa hisia mwanzo mwisho.
 
Yaani serikali ya CCM ijifanyie uchunguzi halafu itoe ripoti inayoichafua serikali??

Hahahahaa jamani eeeh…tutumiage akili zetu tulizozaliwa nazo!
Brother juzi hapa ilikuwa unanipelekesha na taarifa za kifo cha Bagonza hata Leo unaikandi
Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti.

Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa?

Kuna mtu ukimuona amehudhuria uwasilishaji wa hiyo ripoti, basi usitegemee la maana kwani sidhani kama anaweza kuumbuliwa na yeye akiwa yupo katika eneo la tukio unless wamfiche jambo ambalo nalo si rahisi kutokea.

Tusubiri.
Vipi mzigo tayari au?
 
Report inasomwa saa ngapi?
 
Niliuliza Nani kafanya uchunguzi wa Hili la Bot naona kimya basi tujipange kisocho uchumi
 
Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti.

Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa?

Kuna mtu ukimuona amehudhuria uwasilishaji wa hiyo ripoti, basi usitegemee la maana kwani sidhani kama anaweza kuumbuliwa na yeye akiwa yupo katika eneo la tukio unless wamfiche jambo ambalo nalo si rahisi kutokea.

Tusubiri.
Updates tafadhali..
 
Back
Top Bottom