Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Mila na desturi za kiafrika lazima zizingatiwe, baba hadanganyi.
 
HAO NI MATAPELI, WANAJUA WANASEMA UONGO ILI KUHALALISHA ALICHOSEMA BABA YAO MAGUFULI. NCHI HII TUNA SAFARI NDEFU SANA KUFIKA TUNAKOTAKA KUFIKA. UONGO UMETAMALAKI SERIKALI HII....OOH MARA NDEGE YA WATALII IMEFIKA KILIMANJARO.....?

COMMON GUYS....NANI AJE TANZANIA AKAFE???? ACHENI UJINGA NINYI SERIKALI YA TANZANIA....HIYO NDEGE HAIJAWAHI KUPITA ANGA LA TANZANIA, HAIPO HATA KWENYE RATIBA YA KIA, NDEGE IPO UJERUMANI NA HAIKWENDA SEHEMU YOYOTE ZAIDI YA UGIRIKI. TUNAIJUA VIZURI UWANJA WA KIA ULIVYO MSITUDANGANYE NINY
I>
 
kwa Tanzania covid-19 ime target madereva wa malori au
 
Buildings, machines, multitudes of people singing praises are all good; but the critical issue is showing people that our interventions are working. We need evidence of results, not ngojera. This we have seen, now folks: deliver results! That is the role of government to its people.
 
Nimenote tu,, mapungufu ya kiutendaji, uendeshaji, na nn vile sijui...

Politics at fleek!
Aidha pongezi zote kwa kuwa na maabara mpya ya kisasa.
Go JPM go
 
Wakuu habari.
Please wanaojua sehemu wanapima hii kitu inaitwa COVID19 hapa TZ. Nalazimika kupima kutokana na mitikasi yangu ya maisha.
Natanguliza shukrani.
 
Tanzania hatuna Covid 19 ,usiwatie watu hofu!Ukipimwa ukakutwa nayo unataka tuanze nawa na kuvaa barakoa tena?ebu utulie ufanye yako bwana!
We jamaa unamatatizo gani?. Hujawahi kusoma essay hata primary?. Hapo nimesema kutokana na shughuli zangu na michakato ninalazimika kuwa na covid certificate. So nalazimika kupima?. Sasa niachane ili iwaje? Kama hujui kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…