Niliwahi kukutana na ndugu Mangula kule Njombe; alikuwa na afya nzuri kuliko alivyokuwa katibu mkuu wa CCM.
Alipokuwa Katibu Mkuu nadhani alikuwa anafanya kazi sana na ndio maana hakuwa na hali nzuri kama aliyonayo sasa. Hivi sasa anajishuhulisha na kilimo kijijini kwake Kinenulo na ana mashmba makubwa ya viazi ulaya na mahindi; matrela yanatoka Kenya kuja kununua bidhaa toka shambani kwake.
Huyu bwana ni kielelezo cha visasi na unafiki wa Kikwete kwa watu ambao hawakumuunga mkono au walimpinga wakati wa kuusaka Urais!! uwezo wake wa kuongoza na kujenga hoja ni mkubwa kwani amani tunayoiona visiwani sasa ni matunda ya kazi yake wakishirikiana na maalim Seif.