Ripoti ya tume ya maadili ya Philip Mangula iko wapi?

Huyu bwana amekumbana na moto kwa sababu alitaka kumzuia muungwana asiwe Rais. Alijitahidi kucheza lakini hakuweza kuuzuia mtandao. Lakini hebu tuwe wakweli, nani yupo tayari kufanya kazi na mtu wasiyeaminiana???
 
kweli jamaa yuko oysterbay anakaa kwenye nyumba yake yuko poa sana watu kama wale kufulia ujue wewe ni nusu kichaa opportunities kibao,anasali KKKT usharika wa Msasani,Dingi yuko poa sana na ujane wake.
 
thanks Ivilikinge
 
Tangu baada ya kuwekwa upande na JK kwa kumteua mjuba Makamba sisikii habari zozote za Philip Mangula. Yuko wapi? Amekihama chama au kahama nchi?
 
Kuna kipindi fulani mwaka huu alikuwa nafanya special assignments za chama cha ANC. Jamaa bado anaonekana kuwa resourcefull kwa wenzetu. Sijafahamu details za hiyo assgnments. Kama mara mbili hivi alikuwa ndege moja na ndugu yangu wa karibu kwenda SA.
 
Ni mshauri wa mambo ya Siasa wa Jokob Zuma. Mara nyingi huwa huyupo bongo, yupo south africa kwa muda mrefu. Nafikiri hiyo assignment unayoisema Whisper ni kubwa, probably yupo kwenye nafasi kama ya akina Kingunge kwa huku bongo.
 
ni mshauri wa mambo ya siasa wa jokob zuma. Mara nyingi huwa huyupo bongo, yupo south africa kwa muda mrefu. Nafikiri hiyo assignment unayoisema whisper ni kubwa, probably yupo kwenye nafasi kama ya akina kingunge kwa huku bongo.
ukisema "cha nini?" mwanzako anajiuliza "nitakipata lini?"
 
ukisema "cha nini?" mwanzako anajiuliza "nitakipata lini?"

It is always like that MamMamia. Ukiwa na kitu ndani unaweza usione thamani yake, lakini walioko nje ndo wanaokiona. Lakini kusema ukweli Mangula ni kichwa makini ambacho hakikupaswa kuwa damped kama alivyofanya Kikwete. Ukifikiria yaliyomkuta Mangula ndipo unapoweza kumuelezea Kikwete kama ni mtu wa namna gani. Kwa kweli its just a pity kuwa na kiongozi ambaye analipa zaidi fadhila kuliko kuangalia utendaji wa mtu. Hivi Mangula na Makamba wapi na wapi?
 
Nadhani kama CCM wanafikiria vizuri, mangula angeweza kukisaidia CCM kurudi kwenye ile hali ya zamani, ya mvuto, ya kupendwa na wananchi. Simpigii debe lakini JK amrudishe kwenye kiti chake cha Ukatibu wa CCM. Huwa hana mchezo yule mzee kijana. Waulize mambo aliyofanya alipokuwa RC wa Mwanza. Kazi na dawa, basi, hakuna majungu.
 
Huyu bwana amekumbana na moto kwa sababu alitaka kumzuia muungwana asiwe Rais. Alijitahidi kucheza lakini hakuweza kuuzuia mtandao. Lakini hebu tuwe wakweli, nani yupo tayari kufanya kazi na mtu wasiyeaminiana???

Na yeye!! hakujua kuwa wanamtandao wakipania kitu chao lazima kifanyike, piga, uwa, galagaza. Money Talks.
 
nimemkumbuka Geoff na si vyovyo ..

kama nilivyosema jana nililkuwa najaribu kupitia pitia siasa za Chama hiki ndio nikamkumbuka ila sikujua amepotelea wapi
Kama ujuavyo JF hakuna linaloshindikana sasa nimezipata info zake

Au kwasababu umesikia ni mjane? ha ha ha haaaaaaa
 
Nilisikia kwamba baada ya kuwekwa kando na jk, alichukuliwa na Jacob Zuma kwenda kuwa mshauri wa siasa wa ANC kule bondeni kwani alikumbuka alipomfundisha siasa pale kivukoni.
 
Huyu bwana amekumbana na moto kwa sababu alitaka kumzuia muungwana asiwe Rais. Alijitahidi kucheza lakini hakuweza kuuzuia mtandao. Lakini hebu tuwe wakweli, nani yupo tayari kufanya kazi na mtu wasiyeaminiana???

Kwenye hili mzee wa watu alikuwa very objective kiukweli wala haikuwa personal kihivyo. I have come to learn kwamba huyu mzee anamjua huyo mnayemwita muungwana (kwangu mimi c muungwana otherwise asingpiga risasi na kuua wapiga kura wake juzi arusha) kuliko wengi wetu. Watanzania wengi ni mashahidi namna kazi inavyomlemea mkwere, yaani ni kama vile kibajaji kukibebesha mzigo wa tani 30. Kibaya kuliko vyote ni kwamba by then Mzee MAngula hakueleweka na wengi, tulimwona mtu mbaya anayetaka kutupotezea handsome boy wetu, mtu wa watu kipenzi cha watu, you name it. Anyway ndio hivyo tena imekula kwetu hiyo.
 
Hivi b DSC_5804.JPG ado ana zile ndevu au sasa hivi ananyoa?

Mzee mzima wa afya kama anavyo onekana kwenye picha na Balozi Mndolwa wiki tatu zilizopita.
DSC_5606.JPG
 
Back
Top Bottom