M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
bunge linajipendekeza?Sasa hivi hatuna bunge, tuna rubber stamp
bunge linajipendekeza!
ah...viongozi nchi hii wamekuwa kivuruge, wanatuvuruga saana (in Nandi's voice)
bunge linajipendekeza?Sasa hivi hatuna bunge, tuna rubber stamp
Unahitajika uchunguzi wa jinsi fedha hizi zilivyotumikaKuna mtoto wa dada pale hazina Dotto James. Hii ni amount ndogo sana kwani zilizotumika nje ya bajeti ni trillions.
Wakati Bunge linamuita Pascal na Mhariri wa Gazeti la Raia Mwema, tunataka kuona linachukia hatua gani dhidi ya matumuzi haya ambayo hayakuizinishwa na Bunge.
Na mimi kama mwananchi na kama mlipa kodi wa nchi hii,nashauri Bunge liunde kamati teule kuchunguza matumizi haya.
Pia, narudia ushauri wangu kuwa sasa wakati umefika sheria iliyounda Ofisi ya CAG ifanyiwe marekebisho ili iweze kumruhusu CAG kufanya uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma na pia kumuwezesha kumshitaki mtu yoyote yule mahakamani bila kusubiri kibali cha DPP vinginevyo haya mambo kamwe hayawezi kwisha.
Tusijikite kujadili tu matatizo ambayo ni matokeo ya mifumo mibovu katika nchi yetu bali tujikite zaidi katika kutafuta suluhisho la vyanzo vya matatizo(madudu) haya.
bunge linajipendekeza?
bunge linajipendekeza!
ah...viongozi nchi hii wamekuwa kivuruge, wanatuvuruga saana (in Nandi's voice)
Wakati Bunge linamuita Pascal na Mhariri wa Gazeti la Raia Mwema, tunataka kuona linachukia hatua gani dhidi ya matumuzi haya ambayo hayakuizinishwa na Bunge.
Na mimi kama mwananchi na kama mlipa kodi wa nchi hii,nashauri Bunge liunde kamati teule kuchunguza matumizi haya.
Pia, narudia ushauri wangu kuwa sasa wakati umefika sheria iliyounda Ofisi ya CAG ifanyiwe marekebisho ili iweze kumruhusu CAG kufanya uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma na pia kumuwezesha kumshitaki mtu yoyote yule mahakamani bila kusubiri kibali cha DPP vinginevyo haya mambo kamwe hayawezi kwisha.
Tusijikite kujadili tu matatizo ambayo ni matokeo ya mifumo mibovu katika nchi yetu bali tujikite zaidi katika kutafuta suluhisho la vyanzo vya matatizo(madudu) haya.
Maana yangu ni kuwa asiishie kukagua tu, bali ashitaki pia pale inapobidi.una maana gani unavyosema sharia iliruhusu akague matumizi wkt ndio kazi yake!!! kuwafikisha mahakamani ni jambo zuri je tunazo mahakama za uhakika za kuweza kuwafunga hawa watu?? tunao competent prosecutors/govt lawyers wa kuweza kushinda hizi kesi??
RIPOTI YA CAG YAZIDI KUANIKA MADUDU
![]()
Na FREDY AZZAH-Dodoma |
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, amewasilisha bungeni ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka unaoishia Juni 2017, ambayo imeibua madudu zaidi na kuonyesha deni la taifa likiwa limefikia Sh trilioni 50.
Akitoa muhtasari wa ripoti yake kwa waandishi wa habari mjini hapa jana, alisema ukaguzi wake umejikita kwenye maeneo sita.
Aliyataja maeneo hayo ni ukaguzi katika Serikali kuu, mamlaka za Serikali za mitaa, mashirika ya umma, miradi ya maendeleo, ukaguzi wa ufanisi na ripoti 10 za ukaguzi wa ufanisi kwenye sekta mbalimbali.
Ripoti hiyo ya CAG imeonyesha uozo pia kwenye mafuta yaliyosamehwa kodi, udhibiti mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, urejeshwaji mikopo, udhaifu katika usimamizi wa mikataba ya manunuzi, mapato kutowasilishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali na mawakala kutowasilisha makusanyo kwenye mamlaka za Serikali za mitaa.
Uozo mwingine umeibuliwa kwenye Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Shirikisho la Serikali za Mitaa (ALAT) na Idara ya Uhamiaji.
Akizungumzia deni la taifa, Profesa Assad alisema limefikia Sh trilioni 50 na kwamba ni vyema kama nchi ikakopa kwa tahadhari ili isirudi nyuma miaka 20 ambako ilisamehewa sehemu ya deni.
Alisema hadi kufikia Juni 30, 2017, deni hilo lilikuwa Sh trilioni 46.08 kutoka Sh trilioni 41.03 za Juni 2016, ikiwa ni ongezeko la Sh trilioni 5.04 sawa na asilimia 12.
Profesa Assad alisema deni la ndani ni Sh trilioni 13.33 na deni la nje ni Sh trilioni 32.75.
Alisema katika deni hilo, kuna Sh trilioni 4.58 ambazo hazikujumuishwa kutokana na ….
Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
Wana jamvi, mbona issue hii siilewi vizuri juzi kati CAG huyu huyu aliomba msamaha kwa kudanganya umma na kusema deni sahihi la taifa ni kama 33Tr (correct me pls) na nchi inakopesheka bila wasi wasi wowote. Leo tena kaja with full confidence akisema sasa deni ni 50Tr na tuwe makini na ukopaji. Lipi sahihi wana JF?
Wapo busy kushupalia DNAHapa mkimuona Johnthebaptist, Troll, Yehoyada, Waberoya, Mudawote, Lizaboni(ingawa shule imemkamata kidogo huko UK), Kichonge na Masenu mniite.
Wakati Bunge linamuita Pascal na Mhariri wa Gazeti la Raia Mwema, tunataka kuona linachukia hatua gani dhidi ya matumuzi haya ambayo hayakuizinishwa na Bunge.
Na mimi kama mwananchi na kama mlipa kodi wa nchi hii,nashauri Bunge liunde kamati teule kuchunguza matumizi haya.
Pia, narudia ushauri wangu kuwa sasa wakati umefika sheria iliyounda Ofisi ya CAG ifanyiwe marekebisho ili iweze kumruhusu CAG kufanya uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma na pia kumuwezesha kumshitaki mtu yoyote yule mahakamani bila kusubiri kibali cha DPP vinginevyo haya mambo kamwe hayawezi kwisha.
Tusijikite kujadili tu matatizo ambayo ni matokeo ya mifumo mibovu katika nchi yetu bali tujikite zaidi katika kutafuta suluhisho la vyanzo vya matatizo(madudu) haya.
Kibaraka wa mafisadi akihudumu mtandaoni ili wanae waweza kupishana msalaani.Utakufa siku si zako. Kwa siku naona mabandiko yako karibu 10 ukinung'unika wewe au ukimsaidia zito. Kama ndio njia ya kupatia Mlo kazana.