Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

Uyu CAG akiendelea kutaja huu uozo lazima wamteke.
Akitekwa watakuwa wamethibitisha yanayosemwa nasi tutaanza kutekana mtaani
Mkaguzi naye juzi kati aliomba radhi hesabu ilikosewa Leo anamwaga mboga! Hii nchi raha sana
CAG tuendeleeee.......
Kuna watu suruali zitawabana
Tusitegemee bunge watawajibisha mtu ifike mahali wananchi wenyewe tuanze kudai chetu wenyewe wabunge waendelee kupendana bungeni maana ndicho kinachowapeleka huko ni u&$&$iii tu
Tz imekwisha
 
Kuna fedha zilikusanywa kwenye balozi za TANZANIA ughaibuni hazikufikishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Hazina kinyume cha taratibu" CAG
CAG bana, anazunguuuukaaaaaaa,
Sijui anawaogopa?
Anashindwa vipi kuweka wazi tu kua mabalozi wa Chama Twawala wamepiga mzigo?
Hizi lugha za "kinyume na utaratibu" ndio zimetufikisha hapa wakati huu ni wizi typically,
He must call a spade a spade, not a big spoon!!!!!!!!!
 
IMG-20180413-WA0005.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
WATU WANALIZWA SANA KWENYE BALOZI UKU NJE...UKIWA NA SHIDA YA KUGONGEWA MUHURI..............TUKIOJI WANASEMA NI MAELEZO KUTOKA NYUMBAN
 
Mi nadhani matumizi yasiyo ndani ya bajeti ndio yanayosababisha makusanyo kutokutoshea kwenye matumizi-lengwa.

Mfano mathalani umepanga ukipokea Tshs 1,000,000/= ya mshahara basi utalipia Afya 50,000/=, Nguo 50,000/=, Ada za Shule 400,000=, Chakula 400,000/= na mengineyo/dharura 100,000/=

Tuseme baada ya kupokea mshahara ukahitajika kujenga fence/ukuta wa 200,000/=, kukarabati bati linavuja 100,000/=, mchango wa harusi wa rafiki 70,000/= na labda kujenga banda la kuku 200,000/=. Hapa kama mshahara wako ni ule ule ulioutarajia wa 1,000,000/= hautatosha kamwe kwenye matumizi-lengwa.
 
Nasubiri kusikia nani ataitwa kuhojiwa. Inaoneka ni rahisi kumhoji mtu anayechokoza mada kuliko kuhoji mhimili.
 
Labda huyo Mafufuli...ila Serikali ya Magufuli ipo vizuri
 
Back
Top Bottom