Chonde chonde..takwimu za hivi mbali ya wadau wengi kujikita kwenye ulevi,kilevi,unywaji binafsi kwangu naona inaresult ktk mambo yafuatayo:
uzembe,why?anayekunywa haijalishi kalewa ama la, walio wengi watakuwa wanachelewa kazini ama wanatoroka kazini kwa ajiri ya hang over za pombe (blacks are lazy)
Matumizi mabaya ya pesa,why?kuna idadi kubwa ya watu wanalazimika kula sana asubuhi ama kunywa bia/supu nje ya bajeti yao ya kawaida ili kuneutralise alcohol (unnecessary expenses)
kizazi kiovu,(evil)why?wanasema a human being is a captive of his own society,kama ndivyo na mie naamini ndivyo,hawa watoto wa leo wanakua wanayaona haya na wanayapenda make kunywa pombe ni kama ufahari kwao tunawategemea wabehave differently ama indifferently? Sisi walevi,wanywaji ndo role models wa next generation?it's likely to do them wrongly
lifestyle diseases,why?ikiwa ni resultant ya vyakula/vinywaji vyenye kemikali ikiwemo sukari natarajia magonjwa kama presha,kisukari,kansa n.k yataongezeka Tz ndani ya miaka5 ijayo na yatacost maisha ya wengi kuliko tunavyofikiria
Sioni faida ya pombe ktk kiwango hiki ukizingatia ktk maandishi pombe ya kipimo hiki ni haramu pia,hvyo badala ya kujadili sijuhi ni ulevi ama siyo ni vyema watanzania tukajiuliza madhara ya pombe hapo baadae na zaidi kama una malengo vinginevyo tutakuwa kama wale wanaosema mwafrika anaishi kwa leo tu,hana wazo lolote zaidi ya mwaka mbele..
Japo ni marudio bado yanadhihiri na severely yatazidi kudhihiri.