Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Ile kauli ya John Mnyika kua Rais ni dhaifu na serikali dhaifu inaendelea kujidhihirisha!!

Hii nihatari na inafedhehesha sana, mimi ngoja tu leo nisichangie ntapigwa ban waendele wengine.
 
Maskini JK ni lini utamuogopa mungu wako aliekupa hiki cheo? Hivi hujui siku ya kiama utaulizwa aya yote unayoyafumbia macho na utaangamia kwenye moto wa JEHANAMU nadhani rudi ktk mafundisho ya imani yako ya dini...Kikwete huna mamlaka ya kuwasamehe wauzaji wa madawa kwani wewe sio mungu na hawajakukosea wewe bali waTZ kwa ujumla na wewe sio ALLAH mpaka watendaji wako wakupe majina na wewe uyakalie kimya Utajibu siku ya kiama! Jiulize kwanini ALLAH anakuadhibu apaapa duniani kwanini HUKUBALIKI
 
Uchambuzi wako una uharibu ukianza kukipigia chama chako chadema kampeni.
 
nikaupepo tu..katapita. ukiwa bgmoyo utaelezwa yupo mhsika 1 kawajengea ccm ofisi saafi pmben ya nyumba yake. sasa nan wakumkamata mwnzake...
 
Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji kwanza ungeuliza bohari ya madawa yanayokamatwa tangu uhuru, imejaa au bado. Au lini yatachomwa yenyewe na sio unga wa mahindi!
Je record yake ipo sahihi au yakisha kamatwa, yanasafirishwa na wanamtandao?
 
Last edited by a moderator:
Masikini Magomeni yangu nakupenda ila sina budi kukuhama, asilimia 90 ya waliotajwa aidha wanaishi Magomeni au wanafanyia shughuli zao hapa. Mi nahama
 
Huu mtandao ni wa kuumaliza kwa gharama yoyote ile.......JK toa tamko ili kesho tuweze kuwaamini polisi wako....
 
Na mimi nichangie kidogo kuhusu ninavyomfahamu mmoja ya waliotajwa hapo juu bwana Daudi Kanyau,
Kwa wasiomfahamu huyu ndie aliyekuwa akilalamika kuhusu kunyang'anywa mke na mtoto wa Mzee Mwinyi,Abas Mwinyi,kipindi hicho habari na malalamiko yake yalitolewa sana kwenye gazeti ya UWAZI na pia kwa wale wapenzi wa muziki wa Dansi hasa bendi ya Ngwasumo,huwa anaimbwa mara nyingi kama Daud Kanyau Rais wa China na pia kuna taarifa kwamba alishawahi kuwanunulia bendi nzima ya Ngwasumo Suti za nguvu

Kwa jinsi ninavyo mfahamu,
kwanza nisema tuhuma kwamba huyo jamaa anahusika na hiyo biashara kwa maeneo ya kwetu,Kijitonyoma kila mtu anajua hivyo, hata watoto wadogo ukiwauliza watakueleza hizo tuhuma(mwanzoni familia yake ilikuwa inakaa
 
Hivi wale akina Nzoa waliotaka kumbambikia mtoto wa Mengi Madawa wakipata melekezo na pesa toka kwa Manji, issue yao iliishia wapi? Walipofukuzwa kazi walipelekwa mahakamani?

Hii Nchi ins puzzles nyingi sana sijui lini tutazisolve...
 
CCM has failed in many ways this is the time kuing'oa nchi kiuhalisia haiko salama,drug dealers,mafisadi ,wauaji nk ndo ambao wamebaki kuipa nguvu serikali ya sisiemu tena kwa manufaa yao binafsi na kukwepa mkono wa sheria,kwa taarifa hiyo tu inatakiwa ijitathmini na ikiendelea kuishikirilia without feedback(reaction) makes me to believe ccm ni kichaka cha maovu yote yanayojulikana duniani-wauaji,mafisadi,drug dealers,wakandamizaji,wanyonyaji,wahujumu uchumi n.k n.k
Imefika hatua nchi hii aliyoiacha Nyerere iko salama Mbunge ni drug dealer,Waziri fisadi,polisi wa kawaida jambazi,inspector muuaji,luteni ni Jangiri !!Nani hapo atamnyooshea mkono mwenzie..huu mtandao unatakiwa kung'olewa na watu safi,walio nje ya mfumo wao si wengine ni CDM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mimi sidhani tatizo letu hapa ni JK, CCM au serikali. Huu si uchafu mdogo ni uchafu unaohitaji tuunganishe vichwa bila kujali itikadi tutengeneze vita na mikakati ya kuendesha mapambano dhidi ya majanga haya. JK alilivalia njuga lakini kaona hana ubavu nalo na hata akija nani hawezi kuwa na ubavu kama hatuamui kuwa wawazi na kupambana nalo kama vita ya ukweli. Anayebugia anyongwe au akimtaja aliyemuuzia apewe kifungo cha maisha; mbebaji akimaliza kifungo nje akirudi ni kunyongwa na akiweza kuwataja wahusika ni kifungo cha maisha. Wahusika wakuu ni kunyongwa tu moja kwa moja na nchi nzima tuendeshe kura ya siri kuwataja na kuwamaliza.
 
Kwenyeswala la sembenitamtetea Rais as Jk,analipinga sanaaaaaa.watu wa karibu wanajua hata hao warendaji wake,sema tu kazidiwa kete n watendaji muhimu.wauza unga hawampendi kabisa kikwete,mengine yote yase,we lakii sio huku.
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Kwa jinsi unavyochangia unaonyesha nawewe ni mhusika kwenye biashara hii haramu
 
Vyombo vya dola nchii vinafanya kaz ya kukamata na kubambikizia viongoz wa CDM kesi na kukamata madreva il wapewe rushwa.
Cku askar wote wapo barabaran .
Jk hawez kushughulikia wauza dawa za kulevya wakat mwanae nae yumo it means nayeye Jk anahusika.
 
Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.

Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.

Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.


Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Na kinachozidi kushangaza na kusikitisha zaidi ni pale unapobaini kuwa wanaohusika na uangalizi na usimamizi wa uwanja wa ndege bado wanadunda mtaani na wangali wanafuatwa na kuchukuliwa majumbani kwao kwa ma v8; huku wenyewe wakitupiana mpira. Tulipofika pabaya sana, hata Mungu sidhani kama atatuokoa tena. Maana ukiona katika Taifa viongozi ndio wanaofanya uhalifu, jua uliyobaki ni angamizo tu
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Mbona sijaona viongozi wa serikali wakitajwa. Hii habari ipo kwenye uzi wa EMT na barua imeambatanishwa pale.

Modes wanatakiwa kuiunganisha hii habari kwani uzi tayari upo muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Pls MOD msitoe wala kuchanganya uzi huu kama
kweli mnataka tuseme kweli: Ni hivi Mangwear alibeba mzigo wa waziri wa
mambo ya Ndani ya Nchi. Na ilikuwa hivi alimeza
kete za kutosha kusafirisha toka SA kuja bongo
kwa bahati mbaya ndege aliyokuwa kapanga
kuondoka nayo ikahairisha safari. Hivyo mzigo ukaanza kumtesa na kufikia hatua ya
kumpasukia ndani ya tumbo na si kuwa alizidisha
kiasi cha dawa za kulevya katika matumizi. Ninayo clip inamuonyesha jinsi anavyopasuliwa na
kutolewa madawa hayo tumboni. Pia muhusika mwingine ni mmiliki wa Clauds Fm
kwani mara baada ya kifo cha Mangwear
walimtuma mtu wao kwenda kupindisha ukweli
kwa kudanganya uma kuwa kazidisha dozi na
kukana kuwa hakubeba mzigo wakubwa. Mkumbuke hata mara baada ya kutaka kusafirisha
mwili vigogo hao bado walitaka kusafirisha
madawa kwenye mwili wa marehemu. Nasema tena clip ipo MOD nasema ninachokijua
plz usifute
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom