Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Hile Barua tusihiamini moja kwa moja,Ukihisoma kwa Makini,utagundua mwandishi anajisahau na kuisemea nafsi ya mtu,Dhima nzima kwangu niliyoiona kwenye ile Barua,mwandishi alitaka kufikisha ujumbe,watanzania wawajue drug Lords,na mwingiliano wa Kazi ya Madawa ya kulevya na vyombo vya Usalama
Mbona sijaona viongozi wa serikali wakitajwa. Hii habari ipo kwenye uzi wa EMT na barua imeambatanishwa pale.
Modes wanatakiwa kuiunganisha hii habari kwani uzi tayari upo muda mrefu.
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Umepotea, wanaobugia ni victim wa wauzaji. na katika wauzaji wako wale wakubwa wanaofadhili usafirishaji na kuwapa wale wanaofanya biashara ya rejareja. Kama ukitaka kushinda vita hii upigani na victim bali na wauzaji...Mimi sidhani tatizo letu hapa ni JK, CCM au serikali. Huu si uchafu mdogo ni uchafu unaohitaji tuunganishe vichwa bila kujali itikadi tutengeneze vita na mikakati ya kuendesha mapambano dhidi ya majanga haya. JK alilivalia njuga lakini kaona hana ubavu nalo na hata akija nani hawezi kuwa na ubavu kama hatuamui kuwa wawazi na kupambana nalo kama vita ya ukweli. Anayebugia anyongwe au akimtaja aliyemuuzia apewe kifungo cha maisha; mbebaji akimaliza kifungo nje akirudi ni kunyongwa na akiweza kuwataja wahusika ni kifungo cha maisha. Wahusika wakuu ni kunyongwa tu moja kwa moja na nchi nzima tuendeshe kura ya siri kuwataja na kuwamaliza.
Mwanakijiji ni mwanaharakati wa chadema.
Ndivyo mlivyo kila msema ukweli hapa jamvini basi ni chdema.km ni hivyo basi chadm inabahati kuwa na wachambuzi makini,waelewa na wenye uchungu na nchi hii.GAMBA WEWE....