Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Nimegundua ubongo wako una bonge la cracks
Jiulize asilimia ya umasikini au kiwango cha umasikini kwa wakulima wa korosho vs mabilioni waliyotengeneza wafanyabiashara(Sijui ni asilimia ngapi vile) wa korosho .
 
Kweli walituweza, walitunga sheria ya takwimu ili watulishe matango pori kama haya, asiyejua umaskini uliopo mtaani ni nani? Naanza kukubaliana na report moja iliyowahi kuonyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zenye research za kugushi.
 
Nimegundua ubongo wako una bonge la cracks
Ubongo wangu una mikunjo mingi ikimaanisha uko well developed.wa kwako umekosa mikunjo hiyo inayoitwa gyri.
 
Hali ni mbaya mitaa ya mafisadi lakini mkulima wa korosho amepiga hela mwaka huu.
AMEPIGA HELA KWA KUPEWA KARATASI INAYOONYESHA KIASI ANACHOTAKIWA KULIPWA BILA MALIPO SIO. UNASIKIA TENA WAKIONGELEA SWALA LA KOROSHO?
 
Hao vijana wa chakubanga wamemezeshwa CD ya kusifia ccm hawajali mateso wanayo kumbana nayo wakulima wa korosho
AMEPIGA HELA KWA KUPEWA KARATASI INAYOONYESHA KIASI ANACHOTAKIWA KULIPWA BILA MALIPO SIO. UNASIKIA TENA WAKIONGELEA SWALA LA KOROSHO?
 
Labda kaziandaa yule porofesa anayeongea huku mvua ya masika inamwagika kutoka mdomoni mwake
Leteni ripoti za kimataifa zinazosema opposite basi ha ha ha!!
 
Kwani mkuu ukiutumia ubongo wako vizuri kabisa si itakuwa faida kwako na kwa Taifa? Umaskini ndio nini tuanzie hapo kwanza,maana inatia hasira hata kuchangia mada nisije nikawa kama ID yako
Ulizia kule kijijini kwako kama umeme haujafika
 
Kwahiyo Mbowe ndiye aliye hoji uraia wa bosi wa Twaweza?yaani mkisifiwa mnaitana wazareendoo mkikosolewa mnaita huo ni uchochezi!
Nonsense
Mbowe alimuona ni Kanjanja ...Serikali ikaanzia alipoishia Mbowe..ha ha ha
 
JINGALAO huna ya Kibantu ?
Serikali ya pombe ikishirikiana na ESRF na UNDP yatoa ripoti ya utafiti kuhusu kiwango cha umasikini TZ..
Ni hiviiiiii umaskini Tz kushnehiii hakuna kabisa !
kuna mafukara tu na hohehahe !
Yule mwandishi wa ITV aliyetangaza njaa Kanda ya Ziwa kilichomkuta ni kitu cha Azori II.
Na ole wake mpinge, sheria ya TAQHWIMU inawahusu.
 
Back
Top Bottom