funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,412
- 31,917
- Thread starter
- #61
Ufipa wanamkasirikia Jingalao ha ha ha....next time wasiwekeze kwenye matapeli wa kisiasa...sisi tuliowekeza kwa majembe ya kazi tunafurahia matokeo makubwa sasa.USHAURI:
Uzi kama huu ukishautoa unakimbia usionekane, kuendelea kuchombeza ni kuonesha ongezeko la ujinga.