Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,572
Anza wewe kujadiliKaribuni kwa mjadala
Anza wewe kujadiliKaribuni kwa mjadala
Ni kweli ushuru wa mazao, Kuboreka huduma za afya,Bima za AFYA huduma maji na umeme REAUshuru kwa wakulima wadogo umefutwa katika mazao yote !!
Wanaolia ni wachache zamu hii masikini wengi wameanza kufurahi.
Unataka watu wajadili kitu gani? Kwa mujibu wa sheria mpya ya takwimu ni marufuku kuhoji taarifa za takwimu za serikali. Maana yake hicho walichosema ni sahihi kwa 100%.Karibuni kwa mjadala
Hapa unaelewa nini bosi
- Poverty in Tanzania has decreased from 47.4 per cent in 2015 to 64 per cent in 2017, according to the 2017 Tanzania Human Development (THDR)
😛......down sharply in three years........
hii report iliandikwa na jiwe?
Hao watu wa chini ni akina nani?Mzunguko wa pesa umekuwa mgumu sana,uwezo wa wafanyabiashara wadogowadogo kurejesha mkopo umekuwa mgumu sana!Magufuli ameupeleka uchumi kwa watu wa hali ya chini.
Mlizoea kulishwa kwa fedha za ngada sasa mwenyekiti ananyea debe
Na Wakulima wengine kama mahindi,kahawa na mazao mengine,je vipi Wafanyabiashara na Wafanyakazi?Hali ni mbaya mitaa ya mafisadi lakini mkulima wa korosho amepiga hela mwaka huu.
Ushuru kwa wakulima wadogo umefutwa katika mazao yote !!
Wanaolia ni wachache zamu hii masikini wengi wameanza kufurahi.
Magufuli ameupeleka uchumi kwa watu wa hali ya chini.
Karibuni kwa mjadala
Sio korosho tu! Wandugu wamegundua ni heri kulima kuliko kukaa mijini na kuwa wazururaji, chakula kimejaa kila corner ya nchi yetu Tanzania. Kwa kweli watanzania tumeamka haswa!Hali ni mbaya mitaa ya mafisadi lakini mkulima wa korosho amepiga hela mwaka huu.
Hapa unaelewa nini bosi
Mjadala wa hiyo ripoti ya kupika? Tupo hapa hapa Tanzania hivyo ukweli tunaujua.
Tupe chanzo Cha habar kwanza na sisi tusome