Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Kumbe ulilala?
Sio korosho tu! Wandugu wamegundua ni heri kulima kuliko kukaa mijini na kuwa wazururaji, chakula kimejaa kila corner ya nchi yetu Tanzania. Kwa kweli watanzania tumeamka haswa!
 
Wewe mpumbavu sana wewe,wakati wakulima wanalia wewe na uzumbukuku unawazidishia machungu
Bahati yao wanafanyia maujinga haya nyuma ya keyboard, tungewanyonya macho hawa ngurukenge wangeongea hadharani...
 
Hicho kipimo cha kisiasa kina walakini tushajua munataka tuwe masikini mpaka vuguvugu la mapinduzi
 
Kweli kabisa na ukifiatilia hali zao za maisha ni duni kupitiliza
Bahati yao wanafanyia maujinga haya nyuma ya keyboard, tungewanyonya macho hawa ngurukenge wangeongea hadharani...
 
Sheria ya takwimu kazini... Ukiskia utafiti umezinduliwa na waziri, huo siyo utafiti wa kweli. Ni propaganda za kujaribu kuaminisha watu uongo
 
Hizi ripoti mnazipata wapi? Jiwe acha acha hizo mzee baba hali ya nchi ni mbaya kinoma.
 
Hao watu wa chini ni akina nani?Mzunguko wa pesa umekuwa mgumu sana,uwezo wa wafanyabiashara wadogowadogo kurejesha mkopo umekuwa mgumu sana!
Kwasasa uwezo wa kukopa na kufanya biashara ndogo ndogo na kufanikiwa kurejesha kemeshuka sana,mzunguko wa fedha umekuwa mdogo!
Fedha halali itakuja kwa kufanya kazi sio usanii usanii na umarioo
 
Hali ni mbaya mitaa ya mafisadi lakini mkulima wa korosho amepiga hela mwaka huu.
USHAURI:
Uzi kama huu ukishautoa unakimbia usionekane, kuendelea kuchombeza ni kuonesha ongezeko la ujinga.
 
Fedha halali itakuja kwa kufanya kazi sio usanii usanii na umarioo
Kama kujadiliana ndio kwa style hii basi ngoja nikuache urndelee kubwabwaja!Soma hoja yangu fananisha na hili jibu lako la kuokotezaokoteza!!!!
 
Back
Top Bottom