Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi

Tanzania watu ni masikini aisee...
Tunalinganisha umasikini wa Watanzania miaka kadhaa iliyopita na miaka hii na hasa miaka mitatu ya Magufuli.
Ripoti imeonesha improvement na haimaanishi umasikini umeisha.
 
Tunalinganisha umasikini wa Watanzania miaka kadhaa iliyopita na miaka hii na hasa miaka mitatu ya Magufuli.
Ripoti imeonesha improvement na haimaanishi umasikini umeisha.
OK endelea kulinganisha ila umasikini upo tuu...
 
Taarifa hii si ya kweli hata kidogo. Ukitaka kujua ni waongo waambie walete takwimu hizo kwa namba ya watu na si asilimia
 
Hali ni mbaya mitaa ya mafisadi lakini mkulima wa korosho amepiga hela mwaka huu.
mkulima yupi unayemzungumzia wewe taahira watu waliahidiwa tsh 3300 tena baada ya siku 2 leo mwezi wa tatu wanapaswa kulipwa 2600 mara kangomba mara matofali... mapunguani nyie na huyo anaewatuma
 
Write your reply...Hivi aliefanya reserch ni nani?,
 
Back
Top Bottom