SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
And yeah iphone touch screen kwa kuikunja kunia gloves mpk ikawa nene kama my fist ni kweli haitorespond, but tell me on what occasion hasa ambayo utavaa hilo gloves nene kama godoro? Some things you have to use your brain, iphone do fail when it comes to crashing test, like crushing it with a hammer, tell me who in the world would sit down and pick up a hammer and smash it? Who? Do something that can be utilized my ndugu, yanini KUJENGA STORE UKAIPAKA RANGA NYEUPE NA UKAIPAMBA NA KUWEKA GYPSUM BOARD YA DESIGN WAKATI UNAWEKA MAKOROKORO MACHAFU? Is it useful?
Unaweka 5ghz processor quadcore katika simu wakati apps zote zina uwezo wa ku run with 1.5GHZ dual core bila usumbufu wa aina yoyote, yanini yote hayo? Au unaweka 1.5GHZ processor kisha just the scrolling of menu iko luggish kuliko 512MB ya iphone 3g, sasa ipi itakua na maana? Yaani kuna vitu ni wazimu tu ilimradi tu aonekane na specs kubwa lakini no use of them! Iphone 4s haina 4G capabilities, lakini how many devices were capable of 4G? And who used it? 4G yenyewe uko UK ndo kwanza iko actiuoned!!! Sasa lazima utumie akili. Just imagine iphone kwa mwaka mzima wenye 365 days wanatoa simu 1 tu, je samsung wanatoa ngapi? Nokia wanatoa ngapi? Yaani unawaona asa hawa apple hawana wasiwasi na wana marketing strategy kweli kweli, maana ikifika tu ile date ya kutoka iphone basi media zote zinaelekeza macho katika APPLE!
Yaani hawa nokia asa kumfikia apple itachukua mda mkubwa sana, kwanza akae a regain marketshare yake ilochukuliwa na samsung na htc!
Mkuu umenianya nicheke sana