RIP Symbian. Now it is officially dead !

RIP Symbian. Now it is officially dead !

Ni kweli gharama zinamshusha sana NOKIA.

nokia ana simu hadi za 20,000 nani manufacture mwengine anaekutengenezea?

Hebu ntaftie simu za same specific za nokia na manufacture mwengine then linganisha bei
 
nokia ana simu hadi za 20,000 nani manufacture mwengine anaekutengenezea?

Hebu ntaftie simu za same specific za nokia na manufacture mwengine then linganisha bei
Sema debate ya ugharama wa NOKIA ipo kwenye watu wenye kipato cha wastani (Siyo matajiri sana na si masikini sana). Na hao ndiyo wenye faida maana duniani ndiyo wengi wamejaa kila kona. Ila ukisemea maskini NOKIA kweli gharama zake ni ndogo.
 
hahaha mkuu usinkumbushe malware. Huo ujinga wa kupost apps bila kukaguliwa ndio umeifanya android iwe os ya kitoto.

Waziri mkuu wa uingereza disrael anasema kuna uwongo wa aina tatu
lies, damn lies na statistics. Twende kwenye statistics.

-Google wameeka security kwenye playstore kudetect malware ila university ya columbia wakaplant malware kwenye store asilimia 15 tu vikakamatwa.

-kwa siku zinaingia app 560 playstore zenye malware

-kati ya hizo zipo 28,398 ambazo fsecure imezidetect kama hatari zaidi enye uwezo hadi wa kuiba bank data (google hawajui)

so mkuu usisifie kusubmit app bila kukaguliwa wengine wana roho mbaya mkuu

then kuhusu hao kina mozzila mkuu wp8 ina apps unique kupambana na ios na android usikazane kua na apps kama zao eka zako unique mfano apps kama metrotube imeiweka kwenye shame official android apps ya youtube na ya ios youtube.

Same kwenye browser kuna kitu kinaitwa surfcube yenye 3d interface wengi wa iphone na android wanaitaman

SurfCube%20Lead.jpg

hiyo browser ni mbwembe za 3d haiwez kukupa rich customization kama firefox, kitu kingine kinachonifurahisha kwenye android+symbian ni alot of features kwenye hizo platform nimetest windows 8 modern ui yaani apps zake zina features chache.
 
:-o ndugu, kama gloves as gloves iphone zote zinaweza kuwa touched kwa kutumia gloves, iphone uweke karatasi juu basi still unaweza touch. Au kuna special gloves unaongelea? Lakini kama ni glove tu ya kawaida basi bila ya wasi unabofya, and besides sijaona touch screen kama
Ya iphone hana mpinzani hapo!

Well sometime you really have to use your common sense, buying 2000USD plus materials to make the cover, for just personal use???!!! Whats the advantage? How much does an original case cost? Why go thru the hussle?

mkuu unaonekana unaongea kwa matamanio na sio uhalisia nimekwambia uje na evidence hujaja nayo. Inshort screen ya iphone ni ya kawaida na haigusiki na gloves labda gloves special na ni zaidi ya kilo.

Na pia sio kweli kua screen ya iphone ni best maana imetengenezwa na sharp hapo china haina chochote special iphone long time anaiba technology za nokia. Hapa ngoja nikuthibitishie kama una akili utaelewa.

Tuanze na screen resolution
-lumia 920 ni 1280x768 (hd ya 720 inasuport)
-iphone5 1136x640 (hamna hd hapa)
= matokeo lumia 920 kashinda

tuje pixel kwa kila inchi ya screen
-lumia 920 ina 332 pixel kwa kila nchi (ppi)
-iphone 5 ina 326 ppi
=matokeo lumia kashinda tena

twende brightness
-lumia 600 nits
-iphone 569 nits
=matokeo lumia wins

twende ukubwa wa screen
-lumia 4.5 inch
-iphone 4 inch
=matokeo ni mapenzi yako kama unapenda screen kubwa au ndogo

twende speed ya screen kutranslate picha
-lumia 920 ina refresh rate ya 60hz ambayo ni 2.5 faster than screen ya kawaida
-iphone 5 ni screen ya kawaida.

Mwisho wa siku utaona screen ya iphone 5 ni takataka tu.

Nb: hio ni screen ya lumia kwenye game ya ppi now simu mpya zenye 5 inch display kama htc dna, lg mpya na sony zina ppi hadi 441.
 
Sema debate ya ugharama wa NOKIA ipo kwenye watu wenye kipato cha wastani (Siyo matajiri sana na si masikini sana). Na hao ndiyo wenye faida maana duniani ndiyo wengi wamejaa kila kona. Ila ukisemea maskini NOKIA kweli gharama zake ni ndogo.

mkuu labda tuseme ni matamanio ya wafanyabiashara wetu kutaka faida kubwa lakini simu za nokia za kati ndo zinauzwa kama za android za bei chini.

-nokia lumia 710 na 610 nokia amezishusha bei hadi paundi 99 sawa na kama 240,000 au 250,000 za bongo. Simu kama lumia 710 ina internal memory 8gb, processor 1.4ghz na ram 512. Angalia simu ya android ya 250,000 hapo utakuta ram 256mb na processor 800mhz.

-lumia 620 kama nlivoeleza hapo juu ni dola 250 bila tax. Tz tax nafkiri 18% so inakuja kama 290usd ambayo itakuja kama 430,000 (assumption) hii ni simu yenye processor ya s4 snapdragon (ndo fastest processor kwa sasa)

-sjazitaja symbian zote sasa hv zimeshushwa dola 200 simu kama n8, e7, nokia 700 na 701

-kuna n9 mpinzan wa iphone 4s nae kashuka hadi usd 350

upewe nini sasa mkuu hapo
 
mkuu unaonekana unaongea kwa matamanio na sio uhalisia nimekwambia uje na evidence hujaja nayo. Inshort screen ya iphone ni ya kawaida na haigusiki na gloves labda gloves special na ni zaidi ya kilo.

Na pia sio kweli kua screen ya iphone ni best maana imetengenezwa na sharp hapo china haina chochote special iphone long time anaiba technology za nokia. Hapa ngoja nikuthibitishie kama una akili utaelewa.

Tuanze na screen resolution
-lumia 920 ni 1280x768 (hd ya 720 inasuport)
-iphone5 1136x640 (hamna hd hapa)
= matokeo lumia 920 kashinda

tuje pixel kwa kila inchi ya screen
-lumia 920 ina 332 pixel kwa kila nchi (ppi)
-iphone 5 ina 326 ppi
=matokeo lumia kashinda tena

twende brightness
-lumia 600 nits
-iphone 569 nits
=matokeo lumia wins

twende ukubwa wa screen
-lumia 4.5 inch
-iphone 4 inch
=matokeo ni mapenzi yako kama unapenda screen kubwa au ndogo

twende speed ya screen kutranslate picha
-lumia 920 ina refresh rate ya 60hz ambayo ni 2.5 faster than screen ya kawaida
-iphone 5 ni screen ya kawaida.

Mwisho wa siku utaona screen ya iphone 5 ni takataka tu.

Nb: hio ni screen ya lumia kwenye game ya ppi now simu mpya zenye 5 inch display kama htc dna, lg mpya na sony zina ppi hadi 441.

Mkuu unaongelea kiushabiki kweli, na inaonekana iphone umeiona juu juu tu. unaweza uka touch screen ya iphone kwa gloves la kawaida tu. ushahidi nkuletee vipi? Nitafute nkuthibutishie, au kama unae mtu wa karibu alonayo wewe weka karatasi katika kioo cha iphone kisha tumia kidole chako kutouch screen. Dah ndugu mimi nishayafanya hayo.

Unaposema kama eti screen ya iphone inatengezwa na sharp china ndo haina quality, watakucheka watu, nitajie touch ya simu ilo bora kuliko iphone, kwanza touch ya iphone iko accurate, very easy, nilipokua natumia nokia n97 ukibofya hichi mara unaona cha pembeni kimejibofya. Hao nokia usitake kuwasifu na gorilla glass yao. Still iphone hana competitor hata kama kioo chatengezwa tanzania lkn quality iko juu tu.

Screen resolution:
Iphone wana retina display ndo silaha yao.

Brigthness:
Okey nokia wins but i cn use my iphone in a broad day sunlight na nkaona vizuri

Ukubwa wa screen ni maamuzi ya mtu nafkr category bingwa ni samsung

Kutranslate picha vipi? Kama ni scrolling of menu, iphone iko bomba sana!
Kwa nokia fanboy utasema screen ya iphone ni takataka but ukweli unabaki iphones touchscreen the best so far! 🙂 did you talk bout graphics bro? :-D
 
NOKIA LUMIA 920
Reviews;
[h=4]"Growing in the right direction." 3.5 stars
on December 31, 2012 by 30127cnet
[/h]Pros Nice screen. Decent battery life. Reasonably easy to use but I would suggest looking up the user manual and downloading it. Excellent accuracy on the speech-to-text feature (better accuracy than Android or Siri, imo).
Cons Phone is slightly thicker than I like. A bit of a learning curve coming from Apple/Android - more "refined" interface than Android, but not quite as refined as Apple's OS, but, you're not tied in to iTunes, either! Lack of non-major apps.
Summary Window's 8 is kind of like moving to a new city in Middle America. Whereas Android is like living in the untamed wild West, and Apple is like living under communist rulers, Windows 8 offers "freedom", but with some conservative leanings here and there, as well.

The Nokia 822 has a very nice, bright, screen. Decent size that isn't too large for a pocket, but slightly bulky in terms of thickness. The call quality is a 7.5 on a scale of 10 with signal strength being good but not among the best. 4G speeds seem very good with good signal. The Nokia maps work well for navigating roads when a dedicated GPS isn't available. Battery life is slightly better than average by smart phone standards, especially if you turn off unneeded background updating apps.

Android can at times be an uncontrolled mess. Apple goes too far telling people what they should have, based on what Apple thinks they should have. Windows 8 phone OS offers a bit more flexibility than Apple, but not the same level of customization as Android, so it may still seem slightly restrictive to some. The app store has most of the primary major apps but chances are your hometown news station won't be coming out with a Win8 very soon, too. The text-to-speech voice recognition however, is excellent (hold the front window button down on the front of the phone to pull up that menu).

For those who don't want the wildness of Android, or the Stalin-like control of Apple, Windows 8 and the Nokia 822 offer a good mix of a pocketable phone with decent features. You'll be disappointed if you are the type to have 300 apps on your phone - chances are many will not be available in Win8 format (yet), but it's a growing and evolving system.

Source: c-net.com
 
mkuu labda tuseme ni matamanio ya wafanyabiashara wetu kutaka faida kubwa lakini simu za nokia za kati ndo zinauzwa kama za android za bei chini.

-nokia lumia 710 na 610 nokia amezishusha bei hadi paundi 99 sawa na kama 240,000 au 250,000 za bongo. Simu kama lumia 710 ina internal memory 8gb, processor 1.4ghz na ram 512. Angalia simu ya android ya 250,000 hapo utakuta ram 256mb na processor 800mhz.

-lumia 620 kama nlivoeleza hapo juu ni dola 250 bila tax. Tz tax nafkiri 18% so inakuja kama 290usd ambayo itakuja kama 430,000 (assumption) hii ni simu yenye processor ya s4 snapdragon (ndo fastest processor kwa sasa)

-sjazitaja symbian zote sasa hv zimeshushwa dola 200 simu kama n8, e7, nokia 700 na 701

-kuna n9 mpinzan wa iphone 4s nae kashuka hadi usd 350

upewe nini sasa mkuu hapo
Basi sema ka nchi niliko wana bei kubwa.
 
Kwa Watanzania, Nokia ni kama CCM, kama ilivyo Scania. It is hard to convince them that there more phones than Nokia.

Tukiachana na software, Nokia pamoja na kuwa ni kampuni kubwa inayotengeneza simu za mikononi, imekumbwa na tatizo la kutengeneza successful smartphones.

Nokia imetumia mamilioni kwenye research lakini hii kampuni inatengeneza pesa zake nyingi from featurephones, a product category that is sliding into decline.

Microsoft nayo ime-struggle to make itself relevant in the global smartphone market. Kwa hiyo, it is a failing partnership.

Networks za Ulaya zimesema wazi kuwa Nokia Windows siyo nzuri katika ku-compete na iPhones au Samsung Galaxy phones.

Kwamba "they are overpriced for what is not an innovative product" and that "No one comes into the store and asks for a Windows phone".

The last Nokia phone I used ni hiyo hapo chini. Niliacha kuitumia mwaka 2002/3 and since then hata nikifanya window shopping siangalii simu za Nokia siyo tuu kwa sababu ya operating software wanayotumia bali hata shape ya simu zao siyo nzuri.

Kusema ukweli, when it comes to smart phones, Nokia bado sana.

Nokia-3310-02.jpg
 
[h=1]Nokia returns to profit, but sales drop![/h]10:08a.m. EST January 24, 2013

bxx-window-phone-_-xx-4_3_r536_c534.jpg

People walk past an advertisement for the Nokia Lumia 900 phone, which runs on a Windows platform, in the window of an AT&T store on April 9, 2012 in New York City. (Photo: Spencer Platt, Getty Images)
[h=3]Story Highlights[/h]
  • Company earns net profit of $270 million
  • Nokia struggling to compete in smartphone market
  • Nokia sold 15.9 million smartphones in quarter, compared to 48 million iPhones

HELSINKI (AP) -- Struggling Nokia turned a net profit of $270 million in the fourth quarter, compared with a loss of $1 billion a year earlier, but revenue fell 20% as it failed to make gains in the fiercely competitive smartphone market.
The Finnish company said Thursday that revenue dropped to $10.6 billion from as smartphone sales plunged 55%, and it gave a grim outlook, saying it would not pay a dividend for 2012 to save money.
The company's shares plunged more than 4% in Helsinki.
Nokia expects operating margins in the first quarter to be "approximately negative 2%, plus or minus four percentage points," citing increased competition and lower-than-expected demand for its flagship Lumia phones and cheaper Asha models, which have been popular in emerging markets.
Nokia said it sold 15.9 million smartphones in the quarter, down from 19.6 million a year earlier, including 4.4 million Lumia phones. In comparison, rival Apple sold almost 48 million iPhones.
Neil Mawston, a technology expert from Strategy Analytics in Boston, said Nokia's share of the global smartphone market had fallen to a record low of about 3 percent.
"Nokia is on a recovery curve at the moment," Mawston said. "In terms of volumes, they really need to improve. They regained profit, the next step is to regain market share."
The company sold only 4.6 million handsets in China, a fall of 69 percent from the previous year, with sales revenue there plunging 79% from the previous quarter.
"That's a whopping decline in the world's biggest phone market and smartphone market. China really was the one that jumped out the most in the report," Mawston said. "North American recovery was also less than expected."
Nokia, formerly the world's top cellphone maker, had hoped to stem the decline in smartphones through a partnership with Microsoft Corp. but North America - the frontline of the smartphone market - continued to be a disappointment. Shipments there grew 40 percent on the year, but to a mere 700,000 million devices.
In all, Nokia sold 45 million cellphones in the fourth quarter, 15 percent less than in 2011.
 
Mkuu unaongelea kiushabiki kweli, na inaonekana iphone umeiona juu juu tu. unaweza uka touch screen ya iphone kwa gloves la kawaida tu. ushahidi nkuletee vipi? Nitafute nkuthibutishie, au kama unae mtu wa karibu alonayo wewe weka karatasi katika kioo cha iphone kisha tumia kidole chako kutouch screen. Dah ndugu mimi nishayafanya hayo.

Unaposema kama eti screen ya iphone inatengezwa na sharp china ndo haina quality, watakucheka watu, nitajie touch ya simu ilo bora kuliko iphone, kwanza touch ya iphone iko accurate, very easy, nilipokua natumia nokia n97 ukibofya hichi mara unaona cha pembeni kimejibofya. Hao nokia usitake kuwasifu na gorilla glass yao. Still iphone hana competitor hata kama kioo chatengezwa tanzania lkn quality iko juu tu.

Screen resolution:
Iphone wana retina display ndo silaha yao.

Brigthness:
Okey nokia wins but i cn use my iphone in a broad day sunlight na nkaona vizuri

Ukubwa wa screen ni maamuzi ya mtu nafkr category bingwa ni samsung

Kutranslate picha vipi? Kama ni scrolling of menu, iphone iko bomba sana!
Kwa nokia fanboy utasema screen ya iphone ni takataka but ukweli unabaki iphones touchscreen the best so far! 🙂 did you talk bout graphics bro? :-D

Naona unanpotezea mda wangu tu hapa huwezi kureason
angalia hio video ukielewa sawa uspoelewa basi
Nokia Lumia 920 vs iPhone 5 Touch Screen Test with glove and key - Lumia 920 review iPhone 5 Review - YouTube
 
Nimejishau kusoma apa sijaambulia kitu technical language tu..atoe tu yyte

kama uliwahi kuskia simu yoyote ya nokia inayoanziwa na E au N mfano N95 na E71 kuanzia leo hazitatengenezwa tena zimekufa
 
Lol!!! Dude, i got 3gs and i can touch with a glove, ngoja i will record for you and post it in here to prove it to you

labda hiyo 3gs ni fake ambayo ina resistive touch screen, ila kama ni original, gloves zile zenye thickness pana (achana naza hospital maana zile zinakubali) hazifanyi kazi au try kitu kama pen kwenye iphone hakifanyi kazi ila kwenye lumia 920 inawork.

Ukitaka kuprove hairespond ikunjekunje ile gloves ya kawaida halafu uguse screen
 
labda hiyo 3gs ni fake ambayo ina resistive touch screen, ila kama ni original, gloves zile zenye thickness pana (achana naza hospital maana zile zinakubali) hazifanyi kazi au try kitu kama pen kwenye iphone hakifanyi kazi ila kwenye lumia 920 inawork

Yh a pen doesnt really work, why do i need a pen? Haya mambo ya ku touch kwa pen yashapita na wakati, hayana umuhimu unless uwe kazi yako ni artist kuchors chora (so you can find Stylus in samsung useful).
And bro my iphone 3gs is original, and still i can touch with a glove and am not talking about gloves za hospital. Wait nikirekodi iyo video you will see.

And to my view, i think kuwa na touchscreen ambayo haibofyeki kwa material yoyote tu ile ni better, because unaweza ukatia simu mfukoni mara ikaanza kujibofya bofya, so mi naona ni better touch screen ambayo inahitaji special material ili kubofyeka.
Wewe kama unayo iphone 3gs weka karatasi ya vocha then try using it utajionea!
 
labda hiyo 3gs ni fake ambayo ina resistive touch screen, ila kama ni original, gloves zile zenye thickness pana (achana naza hospital maana zile zinakubali) hazifanyi kazi au try kitu kama pen kwenye iphone hakifanyi kazi ila kwenye lumia 920 inawork.

Ukitaka kuprove hairespond ikunjekunje ile gloves ya kawaida halafu uguse screen

And yeah iphone touch screen kwa kuikunja kunia gloves mpk ikawa nene kama my fist ni kweli haitorespond, but tell me on what occasion hasa ambayo utavaa hilo gloves nene kama godoro? Some things you have to use your brain, iphone do fail when it comes to crashing test, like crushing it with a hammer, tell me who in the world would sit down and pick up a hammer and smash it? Who? Do something that can be utilized my ndugu, yanini KUJENGA STORE UKAIPAKA RANGA NYEUPE NA UKAIPAMBA NA KUWEKA GYPSUM BOARD YA DESIGN WAKATI UNAWEKA MAKOROKORO MACHAFU? Is it useful?

Unaweka 5ghz processor quadcore katika simu wakati apps zote zina uwezo wa ku run with 1.5GHZ dual core bila usumbufu wa aina yoyote, yanini yote hayo? Au unaweka 1.5GHZ processor kisha just the scrolling of menu iko luggish kuliko 512MB ya iphone 3g, sasa ipi itakua na maana? Yaani kuna vitu ni wazimu tu ilimradi tu aonekane na specs kubwa lakini no use of them! Iphone 4s haina 4G capabilities, lakini how many devices were capable of 4G? And who used it? 4G yenyewe uko UK ndo kwanza iko actiuoned!!! Sasa lazima utumie akili. Just imagine iphone kwa mwaka mzima wenye 365 days wanatoa simu 1 tu, je samsung wanatoa ngapi? Nokia wanatoa ngapi? Yaani unawaona asa hawa apple hawana wasiwasi na wana marketing strategy kweli kweli, maana ikifika tu ile date ya kutoka iphone basi media zote zinaelekeza macho katika APPLE!

Yaani hawa nokia asa kumfikia apple itachukua mda mkubwa sana, kwanza akae a regain marketshare yake ilochukuliwa na samsung na htc!
 
kama unakaa sehemu ya barid utaitaji gloves pana, na hapo 920 ndipo anapompita idevice maana custom haitaji special gloves to operate phone yake
 
Back
Top Bottom