Ile ajali ya pikipiki na rav4 mlimani city areas tarehe 25-12-2010 ilitwaa uhai wa kijana mwenzetu imanuel mwaikasu (mtoto wa retired jaji mwaikasu) , kwa wale waliosoma mbeya day 1987 watamkumbuka alipokuwa form one na wale wa ifunda tech 1988-90.
Mazishi ni segerea roman catholic kuanzia saa nne asubuhi.
Rest in peace bro imma mwaikasu
let his soul rip na ilikuwa ni siku yake kuzaliwa
Huyo line manager wa TBL ni Joseph Mwaikasu, naamini sio yeyeDont tell me ni huyu aliyekuwa anafanya kazi TBL idara ya Packaging kama supervisor!, kama ndiye namjua, and he happened to be a friend!
Mungu mlaze mahala pema peponi!..
I saw this, no body was ready evn to touch them, waliogopesha sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Hivi mwenzie nae vp alipona? sisi wote wasafiri.
.....oooossshhhh!!, at least iam breathing now, japokuwa hasara kwa familia na ndugu ni ileile!Huyo line manager wa TBL ni Joseph Mwaikasu, naamini sio yeye
RIP Ema........ Nilikuwa naye IfundaIle ajali ya pikipiki na rav4 mlimani city areas tarehe 25-12-2010 ilitwaa uhai wa kijana mwenzetu imanuel mwaikasu (mtoto wa retired jaji mwaikasu) , kwa wale waliosoma mbeya day 1987 watamkumbuka alipokuwa form one na wale wa ifunda tech 1988-90.
Mazishi ni segerea roman catholic kuanzia saa nne asubuhi.
Rest in peace bro imma mwaikasu