Ringia miguu yako myembamba dada yangu


Mimi naamini Mungu hampi mtu vyote. Aliyepungukiwa hiki, kamjalia kile. Ni theory ya Compensation. Wadada wenye fito wana vitu vyao vya ziada na si kila mtu anataka mguu wa bia! Sio kila mtu anatumia alcohol!
 
hahahahahahah umenipa cha kulalia.....si wa bia tena guu la champagne
 
ukisubiri mnene wala huji
vaa tu mbele kwa mbele
 
Kila mwanamke ana uzuri wake jamani na sie wotee ni warembo mnooooo haijalishi miguu myembamba au minene au vyovyote vile.... We are all beautiful.. Period!
 
huku kwetu hiyo miguu tunaiita 'Minazi ya Beach'
 
Labda ni sababu za kimazingira zaidi...sijawahi ona mzungu ana mguu mwembamba....
 
Mimi na toothpicks zangu. ..nimetulia na smile tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…