Rihanna wa Bongo?

Rihanna wa Bongo?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
...Ni katika uvaaji.

404696_533539166662732_1915110823_n.jpg
1.jpg
linah.jpg
 
Wazazi,Ndugu,Jamaa,Marafiki wanaaibishwa kisa pesa,umaarufu...........

Najua Mungu wetu hakutuumba tufanye vituko vya aina hiyo ...................tusubiri tuone ujana maji ya moto
 
Mweeeeh!!! huyu binti kaanza lini kuvaa 'costumes' za namna hii?!!! si alisemaga hatoacha maadili ?!! daaah!! sanaa inajenga lakini inabomoa kuliko inavyojenga, kama kaanza kuji 'expose' hivi, she is officially getting lost, soon she will mimic Nick Minaj and the likes, in adverse, watoto wa standard 5 to seven wanao muadmire wataiga nao.
 
Haka katoto kazuri sana...tatizo kana vinyonyo vidogoooooooo.....

Ila kazuri na ile nyimbo yke mpya "USHAFAHAMU" nimeipenda sana...imekaa kiutu uzima sana....
 
Mweeeeh!!! huyu binti kaanza lini kuvaa 'costumes' za namna hii?!!! si alisemaga hatoacha maadili ?!! daaah!! sanaa inajenga lakini inabomoa kuliko inavyojenga, kama kaanza kuji 'expose' hivi, she is officially getting lost, soon she will mimic Nick Minaj and the likes, in adverse, watoto wa standard 5 to seven wanao muadmire wataiga nao.
Ukiona hivyo ujue kuna mshauri nyuma yake au mtu anayechochea hayo mabadiliko.
 
Back
Top Bottom