Rihanna na kitenge kutoka ''Musoma mutex''.

Rihanna na kitenge kutoka ''Musoma mutex''.

Umenikumbusha jamaa yangu huwa anasema kuangalia netbal ilikuwa zamani siku izi uzushi tuu.Ukimuuliza why utasikia siku izi mara mtu kavaa tight yaani uhondo kwisha kabisa.
Nimecheka maana nimerelate comment yako na ya jamaa yangu mwaendana

Walikuwa hawafuati mpira hao bint akidaka mpira badala ya kumsifia kadaka vizuri wao utasikia "cheki paja hilo mwanangu" hapo bint kasifiwa ngoja wamponde utasikia "aaaah ana nini huyu anatembelea mikono" ujue bint ana mguu mwembamba.
 
Haya mavazi yamemfanya amekuwa mzuri zaidi na mwenye mvuto. Nimezoea saaana kumuona kwenye Tv na magazeti 9/10 akiwa uchi mpaka simuonagi akiwa na mvuto wowote. Kapendeza ila tatizo lake kesho tu anarudi kutembea na chupi. Beyonce umri umeenda, awe anavaa hivi naye!
 
Kumbe wanawake wakivaa kieshima wanapendeza sana.
 
Back
Top Bottom