Rihanna na kitenge kutoka ''Musoma mutex''.

Rihanna na kitenge kutoka ''Musoma mutex''.

Ni kweli amependeza sana,habari zisizo rasmi yasemekana hicho kitenge alimuagizia T.I. amnunulie alipokuja kwenye fiesta.

Huu ndo huwa tunasema True Rise
 
Bora alivyovaa vitenge ili soko la vitenge nalo lizidi kupanda chati kwa walimbwende wetu wa kiTz
 
Back
Top Bottom