Kwa mara ya kwanza nimemuona Rihanna kapendeza.
Sometimes kumbe huwa anavaa nguo!
Umenikumbusha jamaa yangu huwa anasema kuangalia netbal ilikuwa zamani siku izi uzushi tuu.Ukimuuliza why utasikia siku izi mara mtu kavaa tight yaani uhondo kwisha kabisa.Duh kila mtu na mtazamo wake mimi leo kaniudhi kweli kweli haya mavazi si style yake kabisa.