Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

Hakuna kitu kinanikera kwa vibinti vya kibongo vikishaweka miwigi kichwan basi utaskia 'mahari yangu ni million 500'...mwngine mara ohh natumia million 5 la bando...kupitia huko tu wanatuaribia hata Hawa ambao wanaweza kuoleka na kujenga familia Kwan wanawake wengi kwa kufake au kweny uhalisia wanajikuta wanaigana ...mwsho wa siku ndo Ivo unaona wanaume wame quit kuoa kumbe ni haya maisha fake wanaodanganywa mabint wengi
 
Back
Top Bottom