Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
637
2,194
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri.

Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma.

●RIHANNA
Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema

"Huenda ikaonekana ni unafiki lakini nilifanya mambo ya kijinga mengi sana katika maisha yangu nimeonyesha chuchu zangu na nguo za ndani (chupi) mbele za watu. Nikiwa kama mama kwa kweli nisingependa kufanya hivyo."

●LANA RHOADES
Huyu amewahi kuwa staa wa picha za ngono (porno) sasa hivi amestaafu. Kwa nini? Kwenye interview yake moja anasema ni kwa sababu ya aliyofanyiwa kwenye moja ya video yake na staa wa kiume aitwaye Bryan Gozzling kwenye video yenye jina Lana's Nasty Challenge

Alifanyiwa vitendo ambavyo anasema bado vinamtesa kisaikolojia mpaka sasa. Anasema aliingizwa dushe kwenye mdomo akatapishwa. Pia, Bryan alikojoa mkojo kwenye bakuli na akamlazimisha aunywe naye akanywa.

Hadi leo Lana kwenye kumbukumbu yake anajutia sana hivi kwamba amekuwa akitafuta wataalamu wa kumsaidia kisaikolojia.

Najua wengi mtasema sisi sio wasanii au wacheza porno, well ila wengi mnapenda sana kutafuta attention za wanaume kwa njia mbalimbali.

Tuzungumzie mifano michache tu na mingine mnaweza kuongezea.

Leo kuna wadada tunawaona wakifanya vitendo vya kujidhalilisha mfano TikTok au IG challenges mbalimbali za kutingisha makalio, kanga moko na uchafu na ujinga ujinga mwingine mwingi tu ili kuvuta attention za wanaume, wengine kupitia mavazi ya nusu uchi, wengine wamekubali kufanyiwa vitendo vichafu kingono na vya kidhalilishaji n.k

Ruge Mutahaba aliwahi kusema "Ogopa Mungu na teknolojia." Leo kuna baadhi ya wanawake na wamama wanajutia picha na video zao walizopost kwenye mitandao ambazo hawawezi tena kuzifuta zikiwaharibia sifa mbele ya jamii zao miaka mingi baadaye. Wengine wamekosa kazi au baadhi ya vyeo serikalini walipofanyiwa screening kabla ya teuzi.

Wakati bado wakiwa kwenye peak ukiwashauri, wadada wa kibongo utawasikia wana msemo wao maisha ni yangu. Wadada wa kizungu utawasikia wakisema my body my choice.

Ila kama ule msemo muda ni mwalimu mzuri au time is the best teacher wengi huja kujuta sana baadaye.
 
Ushauri mzuri.

Ila maisha huwa yana andaa extra ordinary people na ordinary people

Kuna WATU tangia wakiwa wadogo hawana mpango wa kuishi maisha marefu wala kuacha alama chanya hapa duniani .

Ila mungu huwa anawapa umri mrefu ili watumike Kama mfano wa watu wengine kujifunza.

Pia ukiona umefanikiwa kuwa sober katika dunia yenye destruction unabidi kushukuru Sana.
 
Ushauri mzuri.

Ila maisha huwa yana andaa extra ordinary people na ordinary people

Kuna WATU tangia wakiwa wadogo hawana mpango wa kuishi maisha marefu wala kuacha alama chanya hapa duniani .

Ila mungu huwa anawapa umri mrefu ili watumike Kama mfano wa watu wengine kujifunza.

Pia ukiona umefanikiwa kuwa sober katika dunia yenye destruction unabidi kushukuru Sana.
Kweli

Unajua bora ujifunze kupitia makosa ya mwingine kuliko ujifunze kwa makosa yako binafsi huwa inaleta majuto sana
 
Hiyo porno ya Lana Rhodes niliwahi kuicheki ilipotoka kwa mara ya kwanza

Kwenye Adult DVD talk na Reddit wadau wengi wa porno tulipokutana kuidiscuss

Tulishangaa sana kuona mrembo kama Lana kufanyiwa vile vitendo hatukuzoea kumuona kwenye nasty pornos kumbe ilimsumbua sana baadaye na kujutia

Tulikuwa bado tunamhitaji sana kwenye porno industry
 
Back
Top Bottom