Ridhwani afunga ndoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhwani afunga ndoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Game Theory, Mar 26, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Sie wazaramu sijui tutamka lini.
  btw

  Ridhwani anamwoa yule binti wa Kichagga Mimi kusema ukweli siwezi saari za kupanda treni.Tulishampa yule binti wa kutoka Tanga ambako angepewa theory an practical lakini wapi siio la kufa halisikii dawa.

  Mie nishamwambia Mtawa miguuu yangu mibovu siwezi kwenda Moshi, milima mingi sana kule

  sijui nyie mnaonaje kuhusu hili la Moshi?

  cha ajabu sijui kama huyo Binti mwenyewe keshachezwa
   
  Last edited by a moderator: Aug 23, 2008
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  huyu si mkwere au ni mzaramu vile?

  halafu kuoa si maamuzi ya mtu, mie nnampongeza kama ni kweli maana inaonyesha watanzania si wabaguzi
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kuna haja gani ya kujadili hili?
   
 4. Yunic

  Yunic Senior Member

  #4
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe Nziku....kwa nini mnaleta thread kama hizi hapa JF? Msimpe umuhimu wa namna hii huyu kijana...he's not worth all this trouble!
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ridhwani ni kizito CCM hiyo category yake inaangukia kama mkubwa na hiki ni kibweka chake kama vile mnaweka vibweka vya akina CHADEMA na wengineo

  Duh! sasa numepumua maana nilifikiri ni Mzaramo maana tabia hizo za kuoa mbali wanazo wazaramo wa Bra lakini huyu inaonekana haja qualify

  sasa kwa nini Jakaya anajiita Mzaramo ili hali siyo? mwambieni kuwa PUNDA KUZALIWA KWENYE ZIZI LA NGOMBE HALIMFANI KUWA NGOMBE

  Hivi wale mabinti wa Zakia Meghji washaolewa?

  sie wengine unajua tena wabovu wabovu za rangi zile
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Swadakta kijana ameamua kuachana na jeshi la wapiganaji shupavu na wengi...anakwenda kwenye jeshi ndogo wapiganaji dhaifu na wanaosua sua na migogoro mingi katika maisha pole yake na anakaribishwa tena uko kukimshida.Jioni njema na kazi njema
   
 7. Yunic

  Yunic Senior Member

  #7
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ?????????????????? R U Serious?

  Si mpigiane simu basi, nyie mnoulizana haya? Msituletee mambo ya vijiweni hapa!
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wewe haswa linakuudhi nini?

  maaana unaonekana una kHasira sana shekhe wangu vipi

  au ndio wingu na kijimvua kilichotanda huko kwenu?
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  pole mkuu taratibu utaumiaaa!!!!

  nguvu mtego zitunze zitaisha, hujalipenda tafuta linalokupendeza uchangie. wengi humu hatuwapigii simu, angalia heading ya subforum
   
 10. Yunic

  Yunic Senior Member

  #10
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie sio kwamba kuna kichoniudhi....bali kinanikera. Let's face it people....kwa kweli mnayoongea hapa yanashangaza! Eti watoto wa nani sijui washaolewa? Eti wewe sijui rangi zimefanya nini? I don't think we need this kind of information here! You are either giving us too much information that we don't really need for this discussion, or you're just a loser!

  And for your 411, me sio shekhe ati, we kwetu hukujui, na wala hakuna kiwingu wala mvua huku kwetu.

  It looks like you have nothing better to do than to discuss other people's lives, so .......GET A LIFE!
   
 11. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Name dropper.
   
 12. Yunic

  Yunic Senior Member

  #12
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No wonder unajiita mtu wa pwani! You think you know it all, when you have squat! So let me explain this to you s-l-o-w-l-y!

  You and your friend(s) should stop wasting time with your gossips, and just exchange your phone numbers to discuss this elsewhere and at your own time! Get it? Oh, before I forget....You should get a life too!
   
 13. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..kwani,mlilala lini?

  ..weye ndio purveyor wake wa mademu nini,ustaadh?

  ..usiniambie ule msemo wa wazaramo wengi miguu imeliwa na funza ni kweli!

  ..ustaadh,mi naona hili lisikulaze mlango wazi,hata kuwa yeye wa kwanza wala wa mwisho.

  ..hivi,siku hizi mabinti wa kizaramo nao wanachezwa?maana wasingekuwa wanajaa kwenye mabaa na mabanda ya viti moto!
   
 14. M

  Mzee Kifimbo Senior Member

  #14
  Mar 26, 2008
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la muhimu sana kulijadili hapa.

  Mkapa alikuwa mtiifu sana hana rushwa alipooa Machame matokeo yake tunayaona. hadi EPA mama Mkapa kafanyiza. sifa nzuri zote za mkapa zimehabiriwa.

  DR.Salmin Amour alikwenda kuoa Kilimanjaro alipomaliza tu urais akakimbiwa na mwanamke wa kichagga na kumuibia kila kitu.

  Sumaye alioa mchagga matokeo yake kawa mwizi mkubwa na mrafi.
  sio siri kuna maeneo ukitaka kuoa lazima ujiulize mara tatu tatu.

  mikoa ya Musoma, bukoba ni mashaka. na Kilimanjaro ndio balaa.
  Balali mke wake ni kilimanjaro moto mtupu.
   
 15. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..a good spin,indeed!
   
 16. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Sasa mnataka kusema Ridhwan ataoa wa ngapi? Mpaka sasa ameshaahidi ndoa wafuatao:
  • Arafa
  • Jokate
  • Binti wa Upanga
  • Mariam

  Hawa wote sio wachagga. Sasa naona umeongezea na Msichana wa kichaga tena. Kuna ukweli wowote hapo?

  PM
   
 17. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,252
  Likes Received: 4,274
  Trophy Points: 280

  Mkuu Mzee Kifimbo,

  Sasa mbona unatutisha?

  Unaweza kushauri mikoa ipi tuangalie maana wewe ndio mrekebishaji mambo.

  Pia umenikumbusha gazeti la SANI.
   
 18. N

  Nyerererist JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 443
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ipo siku zitapigwa ngumi live lakini itakua poa kama zitakua zakutafuta kheri
   
 19. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  I think Ridhiwani ana secret mission ya ku unite CHADEMA na CCM, kama ametumwa na vingunge mii sijui, only time will tell!
   
 20. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Does it mean umeanzisha hii thread kumtukuza Ridhwan au ndo unamtafutia huo umaarufu???
  Mbona unaleta hisia zako za kikabila hapa JF? Ridhwan akioa mchaga, mpare, mmasai, mkurya how does that qualify to be Kibweka? tofauti na akioa Tanga au Uzaramoni???

  Hizi ndo zinasababisha folader la Maoni, Malalamiko, Mapendekezo, Ushauri kujaa post zinazoomba watu wapunguze thread zisizo na mwelekeo kama hii!!!!

  JF imevamiwa...?
   
Loading...