Ridhwani afunga ndoa!

Jamani JF members,hivi kweli Ridhiwani ndio achukue page hadi mbili kwa kuoa kwake,au ni kampeni za kupunguza nguvu za JF?Naomba hii tuipuuze kwa sababu haina athari yoyote kwa jamii ya kiTZ
 
Jamani JF members,hivi kweli Ridhiwani ndio achukue page hadi mbili kwa kuoa kwake,au ni kampeni za kupunguza nguvu za JF?Naomba hii tuipuuze kwa sababu haina athari yoyote kwa jamii ya kiTZ

..ndio maana hii iko kwenye nyepesi/tetesi.

..nguvu ya JF haiwezi punguzwa na vitu trivial kama hivi. hizi ni burudani tu!
 
Admin Fungilia Mbali Hii Thread,,,hawa Ndio Wakina Rashida Wanjala Wanalazimisha Mtu Aolewe Na Fulani Kupata Ten Perc Baada Ya Kuolewa Mnalijua Hili Nyie Mlio Mbali,,,,,kuweni Makini Usione Unaambiwa Jakate Ni Mzuuri Kweli Anatabia Njema.....unakuja Na Vidola Vyako Watu Wanakula Na Kusaga Kasheshe Utaiona Ukiingia Nae Ndani,,,bora Ukaoe Wahindi Ambao Mko Nao Mnawajua Vyema Bongo Ni Kisima Cha Mapenzi Karibuni Mjioneee
 
mikoa ya Musoma, bukoba ni mashaka. na Kilimanjaro ndio balaa.
Balali mke wake ni kilimanjaro moto mtupu.

Mke wa Balali sio mchanga, ni mjita wa Majita kutoka kule Musoma
 
Mke wa Balali sio mchanga, ni mjita wa Majita kutoka kule Musoma

Jamani someni geography. Musoma ni mji mmojawapo wa Mkoa mtukufu wa Mara, na Majita ni mji pia ndani ya Mara, kama ilivyo Tarime, Butyama, etc. kwi kwi kwi.....

Ikiendelea hivi, itakuwa kama ile hadithi wa kenya kudhani na kuamini kuwa Mlima Kilimanjaro uko kwao! kwi kwi kwi....

As for this young boy, kuendelea kumdiscuss hapa JF ni kujishushia hadhi tu. Peace ;-)
 
Jamani someni geography. Musoma ni mji mmojawapo wa Mkoa mtukufu wa Mara, na Majita ni mji pia ndani ya Mara, kama ilivyo Tarime, Butyama, etc. kwi kwi kwi.....

Kimsingi Majita sio mji na hakuna mji unaoitwa Majita mkoani Mara, Bali ni eneo kuubwa lenye vijiji kedekede linaitwa Majita katika wilaya ya Musoma Vijijini. Kiutawala nadhani ni Tarafa ya Majita. Pia kuna Butiama na siyo Butyama. Tuendelee kujifunza geography......
 
Ridhwani unakuwa kama si mtoto wa mjini bwana

hivi huu ndio ulezi wa Jakaya?

mtoto wa kiislam umekuwa na sifa kede kede za kutembea na wanawake mjini ..sifa gani hii?

kama ungekuwa rijali usingetoa ahadi za uongo kwa hao mabinti waliotajwa hapo juu

yaani hata sijui nikuteteee vipi kwenye hili

hauteteki
 
Mie sio kwamba kuna kichoniudhi....bali kinanikera. Let's face it people....kwa kweli mnayoongea hapa yanashangaza! Eti watoto wa nani sijui washaolewa? Eti wewe sijui rangi zimefanya nini? I don't think we need this kind of information here! You are either giving us too much information that we don't really need for this discussion, or you're just a loser!

And for your 411, me sio shekhe ati, we kwetu hukujui, na wala hakuna kiwingu wala mvua huku kwetu.

It looks like you have nothing better to do than to discuss other people's lives, so .......GET A LIFE!

Kaazi kweli kweli
Hata mie inaniudhi kweli lakini naamini kuwa mtoa hoja katimiza wajibu wake na kwa kuwa tunaongozwa na rules hapa, endapo hii thread itakuwa imekiuka rules za JF naamini itaondolewa.
pia kuna watu wanapenda sana habari kama hizi, au wewe mwenzetu husomi magazeti ya habari laini?? Mf; uwazi, kiu, sani na makabila mengineyo ya magazeti haya.....
 
Mhhh, mie.....no comment...kwi kwi kwi....
 
I think Ridhiwani ana secret mission ya ku unite CHADEMA na CCM, kama ametumwa na vingunge mii sijui, only time will tell!
Swadata!,Nimekupata Mkuu.
 
Attachments

  • pic..jpg
    pic..jpg
    23.8 KB · Views: 260
Sie wazaramu sijui tutamka lini.
btw

Ridhwani anamwoa yule binti wa Kichagga Mimi kusema ukweli siwezi saari za kupanda treni.Tulishampa yule binti wa kutoka Tanga ambako angepewa theory an practical lakini wapi siio la kufa halisikii dawa.

Mie nishamwambia Mtawa miguuu yangu mibovu siwezi kwenda Moshi, milima mingi sana kule

sijui nyie mnaonaje kuhusu hili la Moshi?

cha ajabu sijui kama huyo Binti mwenyewe keshachezwa

Tuacheni ukabila na chuki kwa wachagga..watanzania wote ni sawa..na kila kabila lina sifa ya ziada..inawezekana kabisa kinadada wa kichagga hawajachezwa..lakini wakawa na elimu,juhudi na maarifa fulani ambayo muoaji yeyote ataipenda.....madhalani pia vijana wa kichagga wengi siku hizi wanaoa yeyote..kutokana na sifa wanazohitaji kwa mwanamke...ambazo wanafikiri wao au dada zao wanazikosa.....nafikiri kuoleana na kukomaa kwa umoja wa kitaifa!!!!
 
Mkuu.

Umeona bora uingie mwenyewe mzima mzima? umeona kitumbua kisije kuingia mchanga, najua mkimpata kijana Rizwan mambo yenu yatakuwa tambarare. atazungukwa kila kona na wana Mlima akija kushtuka watu waleeee.

Mkuu sio siri Machame kunatisha sana kama hujatuliza akili umeumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom