Ridhwani aachia ngazi IMMA?

Tayari kifo cha nyani miti huteleza,huo ni mwanzo tu,atapewa mbovu kila sehemu ni swala la mda tu,wa tz wa sasa ni tofauti na waleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,asubiri ukuu wa mkowa lindi,
mapinduziiii daimaaaaa
 
Ivi na mshahara walikuwa wanamlipa?..basi wana mihela kwa mtu aliyekuwa absent kwa muda wote hou..
 
kabla y akukomment ni vizuri tukjua kwanza km kweli katoa hiyo notice au la...............
 
****in ridhiwani.. he is a crook

Nimehudhuria mikutano ya Kampeni This young man is humble, smart and man of people. Haters and undisciplined politicians like you have tried to paint him with nonsense for your personal gains. Ni machapaka kazi mzuri, honesty and family man!!
Please say the truth but not only the truth.
 
Mwacheni huyu kijana kama kaacha kazi kuna tatizo gani?? Je wewe ukiacha kazi tukuambie nini?? Please be a great thinker
 
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali
ni vizuri kwanza ungedhibitisha kama kweli katoa notice, lakini pia sioni kama kuna tija kwetu sisi wana JF
 
Sasa kale kademu kake kalikosemewa mbovu na mama mkwe (Mana SK) si nako katatimuliwa?
 
Kufukuzwa kazi kwa Ridhiwani kunamsaidia nini mtanzania..?, hebu tuacheni kujadili yasiyo na msingi badala yake tutafakari mustakabali wa nchi yetu kwa faida ya vizazi vya sasa na vinavyokuja.,sio kufukuzwa kazi tu, hata akikata roho ni yeye na maisha yake.
 
IMMA ni:

-Ishengoma (Sasa hivi ni judge wa mahakama kuu-mteule wa JK)

-Magai

-MAsha

Hivyo Magai ni mmoja wa founders wa IMMA

Founder member wa hiyo kampuni ya uwakili aliyeteuliwa kuwa judge wa mahakama kuu na Mkwere anaitwa MUJULUZI; Ishengoma sio jaji wa mahakama kuu!! Magai anaweza kumbwatukia maneno ya kashfa huyo kijana baada ya kuona rafiki yake Masha katemwa kwahiyo wanaona kijana hakutumia influence yake vya kutosha kumshawishi baba yake hence kutafuta njia za kumtosa-expiry date yake inaelekea imefika baada ya kumtumia walivyotaka.
 
Naona alikuwa anaiboa management ya IMMA,kwa kuwa muda mwingi alikuwa anajihusisha na masuala ya kampeni za baba yake!na kusahau kuwa yeye ni mfanyakazi kama wafanyakazi wengine,na anapaswa kutii na kuheshimu sheria za kazi!

Unauhakika na unachokisema? Labda alichukuwa unpaid leave kwa ajili ya kampeni, hiyo inaruhusiwa.
 
Back
Top Bottom