Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha makonda
Maccm mnatoana macho
 
Mbona aliwahi kusema roho yake ilisuuzika kwa kuhojiwa, maana hiyo ilikata mzizi wa fitina wa tuhuma? Kwa maneno mengine alihitaji sana uwepo wa Tume ya kuwaambia ukweli watanzania juu yake na tuhuma zisizokuwa na kichwa wala miguu! Sasa anamlaumu vipi Makonda?
ili suhuzika bahada ya kuojiwa na kuoneana ana chochote kuhusu madawa
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea

Mkuu sisi wengine hatujui hebu tusaidie basi huko China huyo Ridhiwani kilimtokea nini?
 
Ridhwani wala familia ya Rais mstaafu wasichukie kwani Ridhwani kuitwa na kuhojiwa imemaliza mzizi wa fitina dhidi yake.
Kabla hata ya Makonda watu walimzushia Ridhwani tuhuma dhidi yake lakini kama alihojiwa hiyo ni dalili ya kufuta tuhuma dhidi ya mheshimiwal
 
Mbona aliwahi kusema roho yake ilisuuzika kwa kuhojiwa, maana hiyo ilikata mzizi wa fitina wa tuhuma? Kwa maneno mengine alihitaji sana uwepo wa Tume ya kuwaambia ukweli watanzania juu yake na tuhuma zisizokuwa na kichwa wala miguu! Sasa anamlaumu vipi Makonda?

Lawama iko wapi?
 
Back
Top Bottom