Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani na Mwalimu wake

Discussion in 'Jamii Photos' started by Fidel80, Sep 20, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mods -- peleka hii kwenye Jamii Photos.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Amwachie hata kilo ya kifisadi fasta sasa!
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,466
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Very nice photo I will -plan a visit to my former primary school to take a similar photo what an appreciation...
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,121
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  kitanda cha mwalimu kimeniacha hoi....Salma ana bahati angekuwa na yeye analalia kama hicho
   
 6. M

  Msindima JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,016
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kaka umenichekesha. Upo? tuwasiliane.
   
 7. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "kampeni ya nyumba kwa nyumba"
   
 8. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  a very nice picha, huyu mwalimu anaonekana ni wale walimu wenye wito, safi sana Ridhiwani, hata kama ni siasa basi hii nimeipenda, watu wachache wanakumbuka walipotoka.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii ndo kampeni kitanda kwa kitanda
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,121
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  Imekosekana ya shuka kwa shuka.....kitanda hata godoro hakuna.....
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,068
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  Maana ya maisha bora kwa kila mtanzania inaonekana kwenye hivyo vitanda vya huyo mwalimu. Lakini mbona kama anafanana na Riz One? Hivi mama yake Riz One yupo hai?
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  nIPO 24/7 dadaangu!
  Za maisha mapya?
  Tuwasiliane bana, hata mimi karibia nakusahau sura!...namba zangu mpya nishakutumia!
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  So what???
   
 14. e

  emalau JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,034
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Maisha bora kwa kila mtanzania na vitanda vya teremka tukaze !
   
 15. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,069
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kicheko hiko ni cha kinafiki sana! Inaonyesha ni jinsi gani serikali ya CCM inayoongozwa na Baba Yake ilivyoshindwa leta maisha bora kwa watanzania walio wengi hata walimu na wafanyakazi wengine. Tanzania bila Kikwete Inawezekana.
   
 16. fige

  fige JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaenda kumsanifu au kafuata demu,hebu tujuze mkuu.
  Naona kama vile anaonyesha maisha ya watu ambao baba yake hataki kura zao na ndio maana maisha yao (yetu) yako hivyo
   
 17. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaenda kuomba kura ya baba tu,hakuna lolote.Hapo alimwachia kiasi cha pesa labda Tzs.10000 basi.Siku zote alikuwa wapi????
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,582
  Likes Received: 5,697
  Trophy Points: 280
  Watu wamepigikaaaaaa, huku wengine wana preach maisha bora kwa wote.
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,988
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hata na wewe ungekuwa unalalia kama hicho au ngozi ya mnyama, kwani mababu na bibi zako walilalia nini?
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 5,983
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Sura ya mwalimu na Ridhiwani kama rika moja,lol
   
Loading...