Mwalimu wake au mama yake mzazi?
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
Kaenda kuomba kura ya baba tu,hakuna lolote.Hapo alimwachia kiasi cha pesa labda Tzs.10000 basi.Siku zote alikuwa wapi????
sema kama una data mkuu....
wanafanana eeh, inawezekana maana kipindi hicho mkulu alikuwa maeneo ya huko...
Sura ya mwalimu na Ridhiwani kama rika moja,lol
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
..Kinachonisikitisha sijui kama huyo dogo alipata akili ya kumnunulia hata kandambili huyo mwalimu mstaafu!a very nice picha, huyu mwalimu anaonekana ni wale walimu wenye wito, safi sana Ridhiwani, hata kama ni siasa basi hii nimeipenda, watu wachache wanakumbuka walipotoka.
Kicheko hiko ni cha kinafiki sana! Inaonyesha ni jinsi gani serikali ya CCM inayoongozwa na Baba Yake ilivyoshindwa leta maisha bora kwa watanzania walio wengi hata walimu na wafanyakazi wengine. Tanzania bila Kikwete Inawezekana.
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
Mtoto nae anavaa PETE za sheikh Yahay?!!!! Au ni macho yangu wana jamvi?
..the two ladies dont look happy at all.
..sasa sijui Ridhiwani anafurahia nini hapo wakati kamkuta mwalimu wake choka mbaya namna hiyo.