Ridhiwani Kikwete: Nimesikitishwa na watu wanaonilisha maneno, Instagram yangu imedukuliwa

Mimi huwa sikubaliani na hili kirahisi hivo! Wanasiasa huwa wana tabia Moja! Wakipost kitu ambacho baadae kitaonekana kuwa na madhara kwao huwa wnakana akaunt zao mfano Instagram, Facebook na Tweeter au watadai akaunt zimedukuliwa kama anavyodai huwa! Naomba niwaambie kitu, msema kweli n mpenzi wa mungu! Acheni yoga kama kuna kitu unahisi hautaki kukaa kimya kiseme tu. Muse mnaacha visingizio
Hapana mkuu,hawa wasanii/wanasiasa huwa na account yake inayojulikana (official) na fekero,sometime wanamix madesa wakijua wanapost kwenye fekero account kumbe ni official, wakishagundua wanaanza bongo movie za account kuwa hacked lakini hyo taarifa anatoa kwenye account hiyo hiyo anayosema imehackiwa.
 
Vilevile kukanusha hadharani kunasaidia kuifanyia marketing tweet hiyo isomwe na wengi zaidi na kujadiliwa
 
Back
Top Bottom