Ridhiwani Kikwete: Nimesikitishwa na watu wanaonilisha maneno, Instagram yangu imedukuliwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,494
54,906
Nimesikitishwa sana na hili jambo lililotokea leo.

Watu wameingilia Ukurasa wangu wa Instagram na kunizuia nisiingie kwenye account yangu. Lakini jambo baya zaidi wanalolifanya ni kuandika vitu au maneno ambayo hata sijawahi na sitamani kuyasema.

Nimeshangazwa sana na hili na sijui Nia ya kufanya hivyo ni nini? Malengo yenu hamtafanikiwa.

Mimi niko katika vikao vya halamashauri kupanga bajeti za Halmashauri yetu ya Chalinze.

Hayo maneno na matukio hata hayajawahi tokea.

Naomba utulivu katika kipindi hicho ambacho wataalamu wanafanya kazi ya kurudisha Ukurasa huu mikononi mwangu.

Habari zaidi, soma=>Tuliaminishwa Uongo wa siasa mpka 2020, hizi chaguzi za marudio ni nini? Huu mwaka wa 3 lakini kila siku uchaguzi - JamiiForums
 
Mimi huwa sikubaliani na hili kirahisi hivo! Wanasiasa huwa wana tabia Moja! Wakipost kitu ambacho baadae kitaonekana kuwa na madhara kwao huwa wnakana akaunt zao mfano Instagram, Facebook na Tweeter au watadai akaunt zimedukuliwa kama anavyodai huwa! Naomba niwaambie kitu, msema kweli n mpenzi wa mungu! Acheni yoga kama kuna kitu unahisi hautaki kukaa kimya kiseme tu. Muse mnaacha visingizio
 
hii staili naifananisha na ya kumshitaki mtoto wa jirani kwa mzazi wake kwa matamshi laini."kijana wako bwana sio kama vijana wengine yeye hanashida akitoka tution utakuta katulia na boyfriend wake mmoja wakinywa bia zao mbilimbili hao wanaondoka wala hawaleti fujo kabisa"
sasa kutoa taarifa fulani halafu kuikanusha kwa nguvu zote haitofautiani sana na hiyo ya juu kwa kuwa jirani hakuwa anataka kumshitaki binti wa watu ila alikuwa anamsifia mzazi kwa malezi mazuri nafikiri wale wenye blood capillaries nyingi mmenielewa!
 
Mimi huwa sikubaliani na hili kirahisi hivo! Wanasiasa huwa wana tabia Moja! Wakipost kitu ambacho baadae kitaonekana kuwa na madhara kwao huwa wnakana akaunt zao mfano Instagram, Facebook na Tweeter au watadai akaunt zimedukuliwa kama anavyodai huwa! Naomba niwaambie kitu, msema kweli n mpenzi wa mungu! Acheni yoga kama kuna kitu unahisi hautaki kukaa kimya kiseme tu. Muse mnaacha visingizio
Hahaha! Mdukuzi aandike maneno laini kiasi hicho? Mdukuzi angemwaga radhi kwa style ya Mange Kimambi
 
Back
Top Bottom