flowerss
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 640
- 590
Umeonaaa eeeee.???Kama bungeni tu....mtu anatoa makavu alafu anafuta maneno....
Umeonaaa eeeee.???Kama bungeni tu....mtu anatoa makavu alafu anafuta maneno....
Upo kweli huko??
Lete mavutuzzzz ya huko dadaaa
Unachepusha reli!! Mbowe mfungulie post tutachangia tu. Kinachozungumziwa hapa ni ujumbe wa Riz1 kwa ccm na mtukufuLkn kweli mkuu, acha kwanza hasira kidogo, hatujawahi kukushuhudia ina maana chairman na cdm hakuna kitu hata kimoja ambcho walishafanya kikakukera ukakiongelea?
Wewe sina shida na wewe wa kwetu, nimemuuliza mtu mmoja ambaye misimamo yake inajulikana, hii haikuhusu, najua wewe mi msema kweli bila kukumbatia uchama, ndo maana sijakuulizaUnachepusha reli!! Mbowe mfungulie post tutachangia tu. Kinachozungumziwa hapa ni ujumbe wa Riz1 kwa ccm na mtukufu
Hebu changia kuhusu hoja alizotoa Riz1 ni sawa au si sawa?!
Amelenga haswaa Mkuu..Duu asante sana kapiga penyewe
Vilevile kukanusha hadharani kunasaidia kuifanyia marketing tweet hiyo isomwe na wengi zaidi na kujadiliwa
Yaani kale ka mtu kadogoHunishindi Mimi.Eti nipo.Halmashaulini.Baba J anaogopwa sana.Aiseeeeee
Nani sasa Magu au RizBila kusita tungepata angalau viongozi kumi tu wa aina hii bac hakika uonevu dhulma ubabe matusi ktk majukwaa kila kukicha kiburi kisingekuwa kiasi kikubwa kama ilivyo sasa
Hivi Lisu alishawahi kukana vitu kama hivi. Yaan kweli LISSU ni kiumbe cha ajabi kabisaViongozi kma hawa? Wanaokana walichokisema kwa hofu kuwa watatumbuliwa? Au hujui unachokiongelea mkuu?