jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,021
- 22,565
Anasema pesa nyingi zinatumika kwenye marudio ya uchaguzi na wakati wananchi wa maeneo hayo bado wana shida nyingi hata madawa hawana! Akasema wakiendelea hivyo, wananchi watawakataa come 2020.Mimi sijaona unasemaje huo ujumbe unaokanwa?