Muumba unataka awafanyie nini? Unataka awatume malaika waje wapambane na jeshi la abdul?Watanganyika tuna bahati mbaya Sana. Sijui tulimkosea nini Muumba Wa Mbinguni na Nchi
..umekwisha wewe, sisi tumesimamisha process ya kwisha ili D9 tugeuze meza.Tumekwisha wazee
Ooops, network error!Hawa watu wanajua kujipanga sana kwa yanayokuja..wamepanga kujilinda.
"Muslim is shiit" whaaat?Hakunq chochote...Muslim is shit
Kuna Waziri ndani ya Ofisi ya Rais..nafasi ya kina George Mkuchikausalama wa taifa haipo ofisi ya utumishi! ipo kwa rais mwenyewe
Not yet kusimamia, kwa mfumo wa nchi ulivyo almost wixara nyingi huwa zinapata taarifa kutoka taaasis nyetiHawa watu wanajua kujipanga sana kwa yanayokuja..wamepanga kujilinda.
Kwa uteuzi wa Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Waziri Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kunamfanya kuwa anapata taarifa nyeti za nchi kutoka Idara ya Usalama wa Taifa
No this is our time to make changes, hawa ni wadogo sana wananchi tukiwa na umoja..Watanganyika tuna bahati mbaya Sana. Sijui tulimkosea nini Muumba Wa Mbingu na Nchi
ni siku ya ukombozi kukumbuka mashujaa wetu tuliowapoteza siku 29.Na hatupoi wanangu hio siku patanuka
Ni nguvu ya pesa tu ndo inawaweka madarakani.Watu wakiacha ubinafsi, hawa watu hawana nguvu yoyote ya kusumbua hii nchi.
Na wana nguvu kinoma hawagusiki. Maana kwa mtanange wa kipindi hiki wenye nguvu nchii kwa sasa ni wao TISS, wanafatia Jeshi la polisi then JWTZNilidhani sheria mpya iliwaondoa huko utwala bora na kuweka kwa rais moja kwa moja. Yaani hao jamaa wakifanya ushetani basi ujue rais ndiye aliyewatuma moja kwa moja.
Sawa
Sheria mpya za usalama wa taifa ilibadilisha hiyo siri za nchi zinaenda kwa watu wawil tu boss wa tiss na raisiHawa watu wanajua kujipanga sana kwa yanayokuja..wamepanga kujilinda.
Kwa uteuzi wa Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Waziri Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kunamfanya kuwa anapata taarifa nyeti za nchi kutoka Idara ya Usalama wa Taifa