Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

Hayo yote hata sisi tunayajua ila bado hujajibu swali.


Nani kakwambia mimi ni katibu wake! Muulize Ridhiwan, mimi nimejibu a general question kuhusu investment funding, ebho! Issues za kichimnvi sio my cup of coffee!
 
Nitampongeza,ndoto yake ikiwa kwenye uhalisia,maana kwa sasa bado ni wazo tu.sababu mawazo kama hayo na mm ninayo mengi tu,ila hayajatimia.ngoja nimpe muda kijana mwenzangu.
 
Katika mijitu mijinga hakika wewe ni mjinga,yaani kila wakati unawaza uitikadi wa chama.Hakika wewe ni mburula.

NB:Hongera R.Kikwete kwa jitihada zako niimani yangu ajira zitakazotolewa ni kwa ajili ya watanzania na bidhaa zitakazo zalishwa ni kwa mstakabari wa watanzania.Mungu akutangulie ufanikishe lengo lako.
Haaaaahaaaaaa X pen sindano inakuingia polepole

Mumekalia kutangaza njaaa halafu wakwepa kodi wakubwaaa
Eti leo unamsifia kaka yangu RITHWAN ngoja tuwaoneshe maendeleo kwanza hadi mshike adabuu

Keeep it up my brother riz.one.. may GOD BLESSS YOU
 
Haaaaahaaaaaa X pen sindano inakuingia polepole

Mumekalia kutangaza njaaa halafu wakwepa kodi wakubwaaa
Eti leo unamsifia kaka yangu RITHWAN ngoja tuwaoneshe maendeleo kwanza hadi mshike adabuu

Keeep it up my brother riz.one.. may GOD BLESSS YOU
Hiyo ndio hulka yenu vijana wa ccm,kwenye ukweli mnasema uongo kwa kujipendekeza ili mpate mikate.
Kitu chema tutakisifia na kukipongeza ila kilichokibaya tutakiponda tu.
Acheni unafiki na kujikombeleza kwa faida ya matumbo yenu.Hofu yangu kwako kijiwe kimekuelemea now unatafuta nafasi ya kukwiba kwa Rz
 
Bora Ridhiwan anajenga hapa kuliko yule ameifirisi bank ya Bancop na kukopa mifuko ya jamii akachanganya na ruzuku akanunua nyumba Dubai, Johannesburg na ulaya.
 
Ridwan ndie muwekezaji wa kiwanda hicho cha tiles? Nashindwa kuelewa maana tusije kumuingiza Mheshimiwa kwenye scandal
 
Benk.
Kakope na wewe ujenge hata kiwanda cha kusindika maziwa,uache kulia lia na siasa za Lowasa.
Na hiyo dhamana atakayoitumia kwa huo mkopo ameinunua kwa fedha gani? Maana umeshatuambia kuwa fedha kakopa benki. Tunajua benki haikopeshi bila kuwa na dhamana ya mali isiyohamishika. Na mali hiyo ni lazima iwe na thamani ya pesa unazotaka kukopa.
 
Hata kama ni chake,tatizo liko wapi as long as anatumia pesa yake kuwekeza.
Kiwanda chenyewe cha tile,mi nikajua anafungua kiwanda cha kutengeza ndege
 
Hongera Ridhiwan...Tuijenge Tanzania na kuipaisha. Wote tujifunze hela kuzitumia humu humu...sio kuhifadhi SWiss na Dubai kama vile hatuna uhakika wa kesho ya Tanzania
 
Back
Top Bottom