Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

Mtaji ni wazo (idea) kama idea ni viable na soko lipo, pesa zipo kwenye mabenki nk nk, sio lazima awe nazo cash yeye
mwenyewe.
Anaweza kopa Simba Trust pia sio ,yaani wale wenye hisa IPTL?,
 
Sio nimeshaomba mkopo,nimefanya kazi bank kwa zaidi ya miaka 12 sasa.Najua in&out zooote za Bank ambazo pengine wewe hata robo yake huzijui.

Mmekalia kudanganyana tu eti pelela tu IDEA yako na BUSINESS PLAN yako tu Bank unapata mkopo.

Majuto namjua kupitia Tv na mpk kipindi hiki cha utawala wa JPM bado alikua anaomba msaada wa TRACTOR.

Vp kuna swali jingine hapo?
Wewe labda kama ulifanya bank ya Jf,Majuto ana tractor tatu mpaka sasa,tafuta Utube utamuona
 
Hiyo hela ya kujenga kiwanda inatoka wapi?Tujue hilo kwanza.

Technology gani ungeuliza watu wangekuona kidogo unazo akili nje ya hizi za kuchangia JF na kutegemea wengine. Then mtaji pamoja na hela, kuna wenzio Hela wamenunulia mbuzi juice na soda.
 
Anaacha kujenga cha juice Eti cha matunda watu wengine bwana
 
Wewe labda kama ulifanya bank ya Jf,Majuto ana tractor tatu mpaka sasa,tafuta Utube utamuona
Hahah aisee hizo tractor alipewa na bank ya kilimo au TIB?

Mh.JPM naomba vijana wa chama wa kwenye mitandao usiwasahau wametupigania sana sana kwenye uchaguzi- Kikwete akiwa Singida.

Endelea kula buku 7 hapo.
 
Hahah aisee hizo tractor alipewa na bank ya kilimo au TIB?

Mh.JPM naomba vijana wa chama wa kwenye mitandao usiwasahau wametupigania sana sana kwenye uchaguzi- Kikwete akiwa Singida.

Endelea kula buku 7 hapo.
majibu ya bavicha hayo wakishindwa hoja
 
endapo ni kweli: ni viashiria vya mwanzo mzuri tutafika. ajira 6,000 si haba. naamini ni sehemu pia ya kuipunguzia serikali mzigo wa ajira. hakika Tanzania inahitaji wazalendo wazawa mamia kwa maelefu wenye nia thabiti kama ya mh. R. Kikwete.
 
Hiyo ndio hulka yenu vijana wa ccm,kwenye ukweli mnasema uongo kwa kujipendekeza ili mpate mikate.
Kitu chema tutakisifia na kukipongeza ila kilichokibaya tutakiponda tu.
Acheni unafiki na kujikombeleza kwa faida ya matumbo yenu.Hofu yangu kwako kijiwe kimekuelemea now unatafuta nafasi ya kukwiba kwa Rz
Kwa taarifa yako mimi sio mtu niliyesubiria ajira kwenye hicho kiwanda.
Haaaaa haaaaaaa. Acheni propaganda zenu. CCM tumeamua kuwaonesha maendeleo nyie nyumbu.
Toka lini na nyie mkasifia?? simko busy kutangaza njaaa tyuuu???
Wewe jipendekeze kwa bro liz. one akupe walau hata kibarua cha ulinziii. haaaa haaaaa
 
Kila laher mungu akutangulie ktk hilo. Kwel umenifurahisha mno riz. Tunataka mambo kama hayo.kwamtindo kama huo hata sisi upinzan tunakuunga mkono na tupo nyuma yako.rais atafurahije?
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ameanza harakati za kujenga kiwanda cha 'Tiles' katika jimbo lake ambacho kinaweza kuja kutoa ajira kwa watu zaidi ya elfu sita nchini.

Ridhiwan Kikwete amesema kazi yake ni kutafsiri malengo mema aliyonayo Rais John Pombe Magufuli ya kujenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na kudai lengo kubwa la kujenga kiwanda hicho ni pamoja na kutoa ajira kwa vijana na wakina mama.

"Kitakapokamilika Kiwanda cha Tiles Twyford- Chalinze kinataraji kuajiri wafanyakazi rasmi 2000+ na Wasio Rasmi 4000+ na hii kazi ninayofanya ni kutafsiri malengo mema aliyonayo Rais na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa vitendo. Malengo makubwa ni kutoa ajira kwa vijana na wakina mama. Mungu anatusimamia tutafikia malengo tuliyojipangia" alisema Ridhiwan Kikwete.

Mbali na hilo Mh Ridhiwan Kikwete amedai kiwanda hicho kikikamilika malighafi zake za uendeshaji wa kiwanda hicho zitakuwa zikitoka Iringa, Kilimanjaro, Vikindu, Pugu, Morogoro na Tanga na kusema zaidi ya asilimia 90 ya malighafi zitakuwa zikitoka hapa hapa Tanzania.

"Malighafi Zitatoka Iringa, Kilimanjaro, Vikindu,Pugu, Morogoro, na Tanga. Yaani 90 percent inatoka Tanzania. kwa sasa akili, mwili na nguvu iko Chalinze. Inatakiwa nianze na Chalinze ndiyo nitabadili Tanzania kwa watu kuiga mfano wangu" alisisitiza Mh. Ridhiwan Kikwete

Source:Eatv News

Safi sana R1
 
Twyford ni kampuni ya Uingereza inayotengeneza tiles na mapambo ya ndani,nadhani atakua na uhusiano nao ndio maana wameamua kuwekeza uko Chalinze.
Twyford bathrooms ni kampuni maarufu sana ya iliyopo UK na ipo chini ya Geberit Group ya Europe.

Twyford ceramics Ltd ya hapa Tanzania bidhaa zao sasa hivi wana import kutoka China. Sidhani kama kuna huusiano wowote na Twyford ya UK ambayo walishakana bidhaa zao hazitoki China.
 
Back
Top Bottom