Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

..zile hela ziiilee....ndio zitakua mtaji.....haikopwi benki hapa.....pesa ipo....tena yakutosha....inaamuliwa tu ifanye nini....mtalia sana....
 
Unafikiri benki wanagawa hela kama njugu tu!
Ushawahi hata kwenda kuulizia taratibu za mikopo?
Nenda kesho kaulizie acha kulalamika tu ,achana na siasa za kina Mbowe na Lowasa wenzako wana mashamba mahoteli nyinyi nyumbu mnakaa vijiweni kumlalamikia JPM.
 
Afadhali anawekeza hapa hapa Tanzania badala ya kupeleka nje hizo pesa
Hongera mheshimiwa mbunge wa chalinze
 
Tatizo letu tumefundishwa kusoma ili tuajiriwe Lkn upande wa ubunifu hatupo. Kama ni kweli ni mwanzo mzuri japo kwa sasa uendeshaji wa viwanda kwa waajiriwa wengi ni hasara na hii inapelekea garama za uzalishaji kuwa juu hivyo kiwanda kudumaa
 
Ushawahi hata kwenda kuulizia taratibu za mikopo?
Nenda kesho kaulizie acha kulalamika tu ,achana na siasa za kina Mbowe na Lowasa wenzako wana mashamba mahoteli nyinyi nyumbu mnakaa vijiweni kumlalamikia JPM.
We nyumbu ni nyumba ndogo ya huyo jamaa?Mbona unajipendekeza kwa kujifanya msemaje wake?
 
Back
Top Bottom