Ridhiwani Kikwete Kujenga Kiwanda Cha "Tiles" Chalinze

Mtaji ni wazo (idea) kama idea ni viable na soko lipo, pesa zipo kwenye mabenki nk nk, sio lazima awe nazo cash yeye
mwenyewe.
Idea is fuckin' useless until it is executed.Hebu peleka leo idea yako bank uone kama utapata hata thumni.

Bank wanataka mtu atleast ambae ameanza kuonyesha njia,sio unawapelekea TAKATAKA inayoitwa eti Idea.
 
Hehehehe nmecheka SANA....umempaa makavu+hali halisi

OvA
Idea is fuckin' useless until it is executed.Hebu peleka leo idea yako bank uone kama utapata hata thumni.

Bank wanataka mtu atleast ambae ameanza kuonyesha njia,sio unawapelekea TAKATAKA inayoitwa eti Idea.
 
Hiyo hela ya kujenga kiwanda inatoka wapi?Tujue hilo kwanza.
Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.
Mnalishwa uongo na akina Mbowe,huku wao wanakopa mpaka wanashindwa kurudisha,nyie mtabaki na kazi ya kuponda tu mitandaoni
 
Unafikiri benki wanagawa hela kama njugu tu!
Nyie mnahangaika bure tuu, unaweza kukuta ni SOUND kama za Mwijage. Chama hicho watu wote waongo kuanzia kinara wao, wakina Kilango, Khasimu mwenyewe na wengine wote.
 
Nenda basi TIB ukachkue mkopo ufungue kiwanda cha pampers basi mkuu

OvA
Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.
Mnalishwa uongo na akina Mbowe,huku wao wanakopa mpaka wanashindwa kurudisha,nyie mtabaki na kazi ya kuponda tu mitandaoni
 
Nyie mnahangaika bure tuu, unaweza kukuta ni SOUND kama za Mwijage. Chama hicho watu wote waongo kuanzia kinara wao, wakina Kilango, Khasimu mwenyewe na wengine wote.
Mleta mabadiliko alafu huyo huyo ni mkwepa kodi mkubwa!!!?

Mfalme Mbowe achia uenyekiti haraka sana
 
Kijana akili yako ndogo sana.Benki TIB LTD Inatoa mikopo ya uwekezaji,kwa kuwa mmelemazwa na siasa za chuki na kushinda mitandaoni mnabweteka tu hamsomi wala kufanya research.Tengeneza mradi,tafuta ardhi sajili kamapuni peleka andiko lako uone kama utatoka kapa.
Mnalishwa uongo na akina Mbowe,huku wao wanakopa mpaka wanashindwa kurudisha,nyie mtabaki na kazi ya kuponda tu mitandaoni
Hahah TIB hii hii?Labda kwa sababu inawakopeshaga wakina SAIMON,yule mmiliki wa UDA na mwanachama wa chama chenu na wanashindwa kulipa kama kawa.

Mpk kuna Bank ya kilimo sasa hivi Tanzania,unaijua lakini?Jiulize hio mikopo ya Wakulima wanawapaga wakina nani,nakumbuka mara ya Mwisho mzee Majuto aliishiaga kumuomba Kikwete amnunulie tractor la kilimo.Kama kawa mzee wa Msoga akampa bonge la "Killing smile" afu akamuachia manyoya mpk leo hakuna cha tractor wala nini.

Hii ndii Bongo land.
 
Tatizo wabongo mnashabia sana udaku na habari za vijiweni.Wewe ulishajaribu kuomba mkopo ukanyimwa?
Unamjua Majuto au unamuona kwenye Tv tu
 
Sio nimeshaomba mkopo,nimefanya kazi bank kwa zaidi ya miaka 12 sasa.Najua in&out zooote za Bank ambazo pengine wewe hata robo yake huzijui.

Mmekalia kudanganyana tu eti pelela tu IDEA yako na BUSINESS PLAN yako tu Bank unapata mkopo.

Majuto namjua kupitia Tv na mpk kipindi hiki cha utawala wa JPM bado alikua anaomba msaada wa TRACTOR.

Vp kuna swali jingine hapo?
 
Investors wanamtumiaga huyo Dogo kwa jina la baba yake acha apige Hela tujiulize tangu amalize Chuo kashapokea Commsion ngap za New companies? This is Africa
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom