Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.
Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.
Labda walioko huko watujuze zaidi....
Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...
Mbona umetumia lugha ngumu kutafsirika?Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...
Mbona umetumia lugha ngumu kutafsirika?
Hebu lainisha kidogo hizo tamathali za semi
Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena.....
Poor thread from Mzee Mwanakijiji.
mwanakijiji! unakoelekea siko.tafadhali rudi kwa huku!Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...
Poor thread from Mzee Mwanakijiji.
Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...
Poor thread from Mzee Mwanakijiji.
Maana anayo yeye, hapa siyo jukwaa la Methali ndugu si kila mtu ambaye yupo currently na habari za Tanzania au anajuwa Movement za Ridhiwani. Narudia tena this is poor thread.Ana maana yake....huyu jamaa huwa hakurupuki.
Sihitaji mtu mwingine yeyote kufikiri kwa niaba yangu, kama yeye Mwanakijiji anavyotimiza wajibu wake wa kuikosoa na kuishauri Serikali na mimi hapa namkosoa kwamba hii thread hakuna la kuchangia unless wewe unajuwa kila step ya Ridhiwani.Angalia sana baadae usijikute wewe ndo ukaonekana hamnazo!