BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Mkuu nia na madhumuni ya John Mnyika kutoka nje ya bunge ni kutokana na Jinsi budget yenyewe ilivyo hela za maendeleo ni ndogo lakini serikali haitaki kutokana na wingi wa wabunge wa CCM na kama ikipita usitegemee hayo maji kabisa tumuunge mkono siyo kulalamika hapa jamvini tuuUSHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Nafikiri umesema kitu cha maana, lakini hujagusa kabisa mziziz. Karibu serikali zote za mitaa katika jimbo la ubungo ni za CCM na hazifanyi kazi kabisa, ni uizi na kuuza maji. Sasa wananchi wa Ubungo labada tukubaliane kuzipiga chini hizi serikali za mitaa. hoku kwetu golani Msewe wamekula milioni 60 kwenye mradi wa tanki la maji la GOD. Sijui huko kwenu mnajiandaaje. huku msewe kitanuka muda sio mrefu. Kuna mradi wa vija na wa workshop nao umekwamiswa na hawa, kuna poloce post imejenwa kwa miaka karibi 20 haijaisha. mataku ya maji ya dawasco yanatumika na watu binafsi kuuza maji. Hapo vipi. Tuwangoe hawa ili tupate watakaofanya kazi na Mnyika.